no co hvy pesa ya rwanda ipo juu ukicompare na tshs! Last tyme niliexchange tshs 100,000 kwa faranga ya rwanda 35,000 so anavyosema chakula ni mara tatu ya huku itc true coz rate yao ipo juu sana! Sahani ya msosi mzuri ni 5000 ya rwanda ambapo ukichange ktk pesa ya tz ni kama 14,000 hv! Na...
Umenena mkuu! Mtu anaandika vitu serious, mwngn anaanza kuangalia mara paraghap, nukta we soma ujumbe uelewe co kuleta vi2 vicvyokuwa na mantiki! Au na we ni m1wapo wanafisadi nchi hii?
Ktk pita pita zangu cku 1 Nilimckia akiongea na 4n! Namnukuu "Cmpnd mbowe..... Kwsbb anataka posho zifutwe hana akili kabisa" huyu jamaa moyo wake haupo chadema hata kidogo huyu ni kati ya wale walioingia bungeni na upepo wa dr slaa! Ila swala la jimbon me cjui ila ni mtu wa misifa hasa akiwa...
Jamani swala la rwanda only god knows! Wanyarwanda Ni waoga sana hata kuiba, kupigana co swala dogo kwao wanamuogopa km sumu ya python na Ukionekana uko against hm unapotezwa mara 1!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.