CHADEMA kama wahubiri hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA kama wahubiri hivi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by HAZOLE, Sep 29, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Nimefuatilia upigaji wa kampeni za vyama mbalimbali.
  Chadema; hawa jamaa hasa mbowe na slaa na zitto, wao ni makelele kama wanahubiri injili vile. Kwani ukiongea point ndo mpaka ufokefoke ndo ueleweke???

  Ccm; hawa wanaongea pumba lakini kwa upole wa kuwatongoza wananchi na kutaka kura zao. Mfano ni jk, makamu wa raisi, pinda mizengo nk nk.
  Makelele siyo ishu, wengine hatufungamani na upande wowote na tumechoshwa na siasa za tz za uwongo na uchwara.
  Wananchi ndo tunaumia tu.
  Sipendi kabisa na wana jf mliowanasiasa achenni mbwembwe na kufoka majukwaani. Kwani obama anafoka???
   
 2. semango

  semango JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kwani Obama ndio nani mpaka kila kitu Obama?hujasikia anakashfa za ushoga?mbona hujamuiga kwa hilo?
   
 3. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  tunaiga mazuri.
  Wewe haujawasoma vema cdm? Yaani kufoka tuu utadhani wachungaji wa makanisa ya kilokole. Kutishiana nyau tu. Siasa za tz ni feki.
   
 4. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Siasa za CDM ni za Kilokole kwa hiyo usishangae!
   
 5. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Unajua CDM lazima wahubiri kama kanisani, kwani ndio sera zao !
   
 6. M

  Mzee Madoshi Senior Member

  #6
  Sep 29, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Angalia hotuba za Adolf Hitler na hotuba za Martin Luther King
   
 7. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  We kama huna cha kuandika ni bora uwe unapitia tu threads za wengine. Hadi leo hujui kwamba ccm ni kandamizi sana kwa maisha yetu? We hujui kwanini mtu akikanyagwa na mwenzie analalamika sana kwa maumivu anayoyapata? Kama unakanyagwa mguu na mwenzio unafikiri sauti ya kulalamika ili asiendelee kukukanyaga itakuwa ndogo? Jaribu kuwaonea huruma viongozi wa upinzani ambao ktk kutafuta ukombozi wetu wanapitia vikwazo vingi sana.
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ulieleta mada unafikiria kwakutumia masaburi pimbi wewe
   
 9. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Nyie magamba mnatumia masaburi kufikiri; Hii nchi haiwezi kuendeshwa kwa kuchekacheka na masihara mengi kama mabwabwa, we need to put on some serious face and WORK! Kucheka na nyani ndy kunatufanya tuvune mabua! Akili zako za masaburini ndy zinakufanya ufikiri Marekani ilijengwa kwa kuchekacheka, ilijengwa kwa MACHOZI, JASHO NA DAMU!
   
 10. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Cdm wanapoint sana na malengo mazuri. Nakereka sana na wanavyotumia nguvu kutema cheche ona wahubiri wa kilokole yaani utadhani kapandwa na degedege la ukubwani bwana...... Wewe toa point zako bila hiyana wananchi tunajua zipi pumba na zipi ngano full stop
   
 11. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,640
  Likes Received: 2,872
  Trophy Points: 280
  Wewe unatumia style gani kuandika? Kama Obama?
   
 12. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #12
  Sep 29, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana ulianza vizuri umemalizia kwa style ya kupitia kwa"ina maana kuwa Ulitumia Masaburi hapa kwani Obama ndio nani hadi awe mfano wa kuigwa?
   
 13. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #13
  Sep 29, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kaka hawa jamaa hapa wanatumia Masaburi kwani hata Hitler na Martin hawawajui unazungumyiaje mambo ya msingi udhalimu wa Ccm,shida na taabu ndani ya Nchi kwa kuongea kipole?
   
 14. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #14
  Sep 29, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Ulishawahi kumsikiliza Nyerere? Anaongeaje jukwaani?
   
 15. N

  NYAGO Member

  #15
  Sep 29, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mie nadhani ukombozi hauji kwa upole..lazima uonyeshe ujasiri wa kuongea kama Chadema ndio utaupata..ninamuunga mkona mwana JF aliyechangia mtu akikukanyaga hutamjibu kwa upole lazima upandishe sauti ili aelewe alichokifanya sio sahihi..sasa Ccm wanachokifanya kwa wanainchi si sahihi ndio mana wanazidi kutuganyaga mana wanaichi wanajibu kwa upole tunakanyaga na giza la bila umeme karibu mwaka wa pili mgawo..unadhani wangejibu kama Misri au Tunisia na Lbya Mnatukanyagaaaaaaaaa?? si wangeelewa hapa tumekanyaga choo cha kiume?? acha Chadema wasikie nguvu ya mnyonge. Mie pia nadhani wewe ni mfurukutwa wa CCM una hisa nini?????
   
 16. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #16
  Sep 29, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  mimi sina chama na si mwanasiasa, siasa haina msaada katika hii nchi maskini. nakereka sana wanasiasa wanavyotudanganya hovyo watu wazima. mpaka nafikia mahali simuamini mwanasiasa yoyote coz tu ni mtwanzania. tumejaaliwa roho za kukwamishana tu. wananchi wanaumia sana, nyie mpo mjini hamjaona uhalisia wa tz bwana, kuna watu tunanunua sukari kwa sh. 2500 mpaka 3000 huku nyie mnaishia kupiga makelele tu.
  bora siku wanajeshi na wananchi tuingie msituni tu.....hao cdm, ccm, updp and the likes ni wahuni tu, wote wanaroho za kitanzania, hakuna mwenye uchungu na hii nchi.

  wa tz tunakosa vitu viwili, 1. akili 2. uzalendo.
   
 17. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #17
  Sep 29, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,364
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280
  KILA THREAD YA KAWAIDA na kaudini ndani yake.............kwani hii nchio imerogwa na nani?....imerogwa na rostam ambaye hakamatiki? au na nani sasa......mbona magamba yapo lakini hayavuliwi akiwemo kikwete mwenyewe?..........ahaaaa   
 18. d

  dadaawaukweli Member

  #18
  Sep 29, 2011
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh hawa wanasiasa tuwe nao makini sana! Madaraka yatatumaliza! Tuache ushabiki wa vyama tuungane tulikomboe taifa letu!
   
 19. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #19
  Sep 29, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  tumerogwa hatunaubavu wa kuchukuwa hatua. Kutegemea cdm ije juu eti ishike dola ni kujidanganya kwa ushahidi wa serikali nyingi za africa ni wabishi sana.
  Mpaka muachape ndo waondoke.
  Tafakari
   
 20. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #20
  Sep 29, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Hivi Obama ni Bench mark!!!!!!!!!!!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...