Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,371
ok ok kumbe uko dar,nlidhan uko rombo. watu wa dar wanajua mchapakaz ni akina idd azan na zungu,njoo huku rombo tutakwambia bora Selasini mara mia kuliko mramba,waambie wazee wa dar wasiwe na uendawazimu kwa kuwa selasin hawezi kuleta maendeleo nd
Tupe walao la maana moja alilofanya tangia kaingia madarakani bila kuwa mnafiki