Kagame baba wa East afrika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kagame baba wa East afrika

Discussion in 'International Forum' started by kimboka one, Nov 6, 2011.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Ni kijana mwenye akili ya maendeleo na hari ya kuwatumia wananchike. Kwa kuwa tanzania kila kitu tunabinafsisha na kwakua Kagame ameleta maendeleo kwake.

  Kwa nini basi taasisi ya ikulu isibinafsishwe? Ili Kagame atusaidie kwa miaka mitano. Kama aliomba bandari hope ata madini tukimpa atafanya vizuri zaidi.
   
 2. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mimi ninamtunuku heshima yakuwa baba wa afrika mashariki
   
 3. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nchi ya rwanda kama wilaya ya kinondoni hata chizi wa mirembe anaweza iongoza
   
 4. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  Wakuu hakuna rais muuwaji wa demokrasia kama Kagame tv 1 tu ya serkali wapinzani wanauwawa kimyakimya na ukiandika tofauti na anavyotaka umekwenda na maji. Kaua wengi na anaendelea.

  kakorofishana na akina Kayumba, Rudasingwa, Karejea, Rudasingwa wote hao ni ma general walio chukua nchi. Yeye alituma wa2 kumuua Kayumba South Africa, ikashindikana baada ya kumpiga.

  Wana mpango kurudi kulipa kisasi vita kubwa inanuka Rwanda. Hii sio ya ukabila tena bali ya ndugu walio lala pango moja wakati wa mapinduzi leo wamekua maadui wakuu.

  Na mbaya zaidi major general Kayumba anakubalika sana jeshini ya Kagame. Mtoa mada humjui Kagame na nenda Kigali uone watu walivyo waoga. Hakuna jf kule.

  Ukijaribu tu umekwenda na maji. Kajamaa ni kama Hitla kana ua watu usiku na mchana.
   
 5. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Na damu za watu mikononi mwake... keep on embracing him...
   
 6. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,807
  Likes Received: 2,581
  Trophy Points: 280
  In region where currency are tumbling down, the Rwandan cirrency is remakably stable Kagame did it again another score for the man.
   
 7. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hujui hata unenalo. Unachoandika umesikia kwenye cnn, bbc, aljazeera, na vyombo vingine vya habari vya magharibi. Ndiyo maana nakusamehe kwa kuandika upupu mtupu huu.

  Niulize mimi au watz wengine waliotembelea na kuishi Rwanda tukueleze kuhusu ukweli. Kwa kifupi ni kwamba hizo ni propaganda dhidi ya Kagame! Jamaa yupo committed na maendeleo ya nchi na wananchi wake kwa ujumla.

  Miaka 15 ijayo Kigali kutakuwa kitovu cha maendeleo na jiji la biashara katika africa. Wakati huo ninyi mtaendelea kutembeza bakuli lenu la misaada na magamba yenu.
   
 8. z

  zamlock JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  kagame ni noma alisema akipewa bandar atailisha tanzania huyu jamaa ni noma na mimi nina mpango wa kwenda kwa kagame niangaike na ujuzi wangu nilionao najua naweza kupata pesa
   
 9. d

  dadaawaukweli Member

  #9
  Nov 7, 2011
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani swala la rwanda only god knows! Wanyarwanda Ni waoga sana hata kuiba, kupigana co swala dogo kwao wanamuogopa km sumu ya python na Ukionekana uko against hm unapotezwa mara 1!
   
 10. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Wewe ndi chizi, mbona hatuna hata mkoa/wilaya ya mfano.Tofautisha rwanda na Tz.Tz tuna rasilimali nyingi sana tofauti na wao mbona tumeshindwa kuzitumia vizuri.Kagame is the hero
   
 11. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Heri kagame jambazi na muuaji lakini analeta maendeleo kwa wananchi wake na hali nzuri ya uchumi, sasa huyu wenu hawaui lakani cha moto mnakiona. Sukari foleni, subiri sasa foleni ya sabuni na mafuta ya taa, kisha foleni ya unga.
  i like ou Ka game.
   
 12. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #12
  Nov 7, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,918
  Likes Received: 1,024
  Trophy Points: 280
  Du kuna watu wana mawazo tofauti...... yaani Kagame mnamuona ndiye baba wa ea wakati anatisha watu wa nchi yake..... muuaji yule.... anafanya nchi isiwe mahali salama kwa watu wenye mawazo mbadala.... anawaua..... na ndiyo maana ana mpango wa kutawala rwanda milele kama shemeji yake m7.... maana akiachia tu madaraka..... watamng'ang'ania kama mpira wa penalty iliyotemwa na kipa.
  Kuna vugu vugu la chini kwa chini....
   
 13. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #13
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kwa maana hiyo mbona JK na wengineo walishindwa na wanaendelea kushindwa kuongoza na kuyaletea maendeleo hata majimbo yao ambayo ni makubwa kieneo lakini yana population ndogo kuliko Kindondoni? Sifia penye stahili yake lasivyo tubaki wasomaji tu si lazima kuchangia........
   
 14. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #14
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Tanzania we real need one Kagame........ For the sake of development......
   
 15. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #15
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Na mauaji ya Kimbari yalitokeaje km ni waoga? Hakuna jamii (nchi) nzima eti watu ni waoga wa kuiba? Kwahiyo Tanzania ni jamii ya watu wasiopenda maendeleo? Kila kitu ni mfumo ulivyojengwa. Hata ww ungekuwa mdokozi utotoni na wazazi/walezi na jamii inayokuzunguka ingekuacha ungekuwa mwizi / jambazi now! Ufisadi ni matokeo ya UBINAFSI. Mfumo ambao haupo ktk serikali ya Kagame.... rushwa EA Rwanda ni ndogo sana. Mshahara unatosha etc....... Ametengeneza mfumo wa watu kufanya kazi na kazi zinafanyika na wote tunaona. Tuache porojo za siasa za Watanzania eti jamaa ni dikteta, think beyond that...... Hao wanasiasa wanasema hivyo wanamuonea jamaa gere, na wanajua the socio - political and economical milestones so far attained by the man are immeasurable in the region.
   
 16. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #16
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hizi ni dalili za waTanzania kuanza kupoteza mwelekeo wa utaifa....
   
 17. K

  Koba JF-Expert Member

  #17
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  ...hivi hizi garbage unatoa wapi? tatizo unaonekana uko busy na site za hutu extremist/ant Kagame ambao wengi wao ni genocidals/criminals on the run maana ndio talking points zao,then bila aibu eti hakuna JF kule?pale Kigali ni full broadband, Kagame yuko busy to wire his people with high speed broadband & cheap electricity mpaka vijijini na nani kakuambia kuna TV moja kule?huko 99% ya wananchi wana health care insurance na story za rushwa au ufisadi huko ni jela haraka sana,na kama umefika Kigali pls appreciate atleast how clean and orderly the city is...hata kama humpendi jamaa give him some props maana kwa situation waliyokuwa nayo na resources ambazo hawana amefanya makubwa sana na viongozi wengi wanabidi wakajifunze huko
   
 18. K

  Koba JF-Expert Member

  #18
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  ...wewe bantugro hayo matope yako unayowaza yanaanza kunipa wasiwasi kama uko sawa huko juu,kuna ubaya kukubali jirani yako anafanya vizuri na kujifunza?
   
 19. K

  Koba JF-Expert Member

  #19
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  ...wewe nilishakueleza hiyo elimu yako ya madrasa haikukusaidia,halafu acha kuja humu JF na kujifanya everything analyst na unajua kila kitu with zero facts!
   
 20. K

  Koba JF-Expert Member

  #20
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
Loading...