Blandina Nyoni kujiuzulu?

Jan 18, 2012
14
8
Hatimaye Mama Blandina Nyoni amejiunga katika timu ya victims wa Jamii Forums (JF) ambayo pamoja na wengine ni:

LOWASSA
BANGUSILO
ROSTAM
MGONJA
BALALI

Na wengineo ambao sina haja ya kutaja majina yao.



Sababu kubwa aliyoitoa kwenye barua aliyoandika ni kuwa ameamua kuachia ngazi ili kumpa rais, chama na serikali nafasi ya kuendelea kufanya kazi bila kuwepo kwa distractions ambazo anaona amezisababisha kufuatia mgomo wa madaktari.

Lakini more importantly ni kuwa kuna leaks ambazo zingetolewa kuanzia jumamosi mpaka jumanne wiki ijayo ambazo pamoja na mambo mengine zineweka hadharani risiti za akaunti zake za ndani na nje ya nchi ambazo kwa namna moja au nyingine zingeweza kuteteresha serikali na ingemwia vigumu kupigana na hii vita katika front 2 tofauti.

Hii barua aliyoandika sijapewa ruhusa ya kui attach humu lakini naweza kunukuu kipande ambacho Blandina Noni anasema hivi:




"Dear Mr President,

As you know, since you chose me to take various positions within your Government, I have always placed a great deal of importance on accountability and responsibility. As I said in the meeting with the Prime Minister, Honourable Mizengo Pinda on Monday 30th January 2012, I mistakenly allowed the distinction between my personal interest and my government activities to become blurred. The consequences of this have become clearer in recent days. I am very sorry for this.
[FONT=arial, sans-serif]You have also repeatedly said that our national interest must always come before personal interest. I now have to hold myself to my own standard. I have therefore decided, with great sadness, to resign from my post as Permanent Secretary of the Ministry of Health and Social Welfare (MOHSW) — a position which I have been immensely proud and honoured to have held.......................................''





Jamani nipeni muda kama nitaruhusiwa kuibandika hii barua hapa au la, lakini eitherway wapiganaji wa JF you wanted your pound of flesh and at last you got it. Sasa cha kujiuliza ni nafasi hii itazibwa na front runner wa hiyo post, Dr Mwele Malecela au ataletwa mtu mwingine?




[/FONT]
 
Ahsante kwa Taarifa.

Kwa hali ilivyokuwa asingesalimika, hata kama JK asingemtoa, hapa JF wangemtoa. Hilo ni Moja, la pili inabidi afunguliwe mashitaka kwa kusababisha mauaji ya raia wasio na hatia kwa kushindwa kufanya maamuzi sahihi, tatu, afunguliwe mashitaka kwa ubadhilifu wa mali ya umma na kwa kutumia madaraka kujinufaisha. JF endeleeni kumwaga data zake hapa hata hizo za mabenki ya ndani na nje. Takukuru, hamuuitaji ushaidi mwingine, ushaidi wote upo hapa JF. Bado Mtasiwa, Nkya, Mponda na Mtoto wa Mkulima, ni lazima nao watoke - period.
 
Mbona itakuwa nafuu kidogo, japo tungependa kuona hatua zaidi zinachukuliwa dhidi yake kwani ni wengi sana wamepoteza maisha yao na shida kubwa sana kwasababu ya kiburi chake.
 
Please wait while checking virus from the source.......
 
Back
Top Bottom