Nina sifa zote lakini sipati mpenzi, je nina gundu?

nakushauri usisubiri kutongozwa tafuta utakayempenda then anza 'kumwimbisha' mpaka kieleweke. Mwanaume hutongoza na hasubiri kutongozwa. Pia yawezekana mademu walio karibu yako hapo wana'kuzimia' lakin kama ujuavyo mila zetu Waafrika mwanamke kukuanza inakuwa ngumu hivyo wanasubiri uwa'tekenye' wajiachie.
 
Dogo tatizo wewe kwa hapo ulipofikia unadhani kila mwanamke unaekutana nae atajua una hela bank, umejazia kifua, handsome then akutongoze, hakuna kitu kama hicho, unaonekana ni mtu wa kujiona.
Jitazame tatizo ni wewe mwenyewe , domo zege na sahau , hakuna mwanamke wa maana atakutongoza, ni hao walio choka kama hao wake za watu na wazee, na ninavyoona kwa tabia yako ndio watakufaa.
 
pole saana
usikwazike na waliokujibu vibaya
mimi kama mwanaume nimeelewa tatizo lako
infact ni tatizo linalowakumba watu wengi mno
hasa wale ambao chuo au high school walikuwa popular......

the best way ni kuhakikisha unajifunza new skills za kujichanganya na watu
katika adult level.....tofauti na high school......

wadada watu wazima akikuzimia sio rahisi kukutongoza
but ukiwa mjanja utajua tu......so jifunze kuwasoma wadada
now.....ofisini au mitaani...wapo wanaokuzimia but wewe huwaoni now..

bado unafikiri wakikuzimia,watakufuata kama high school......
 
Kaka cha kufanya ni jishushe kuwa m2 wa kawaida mabinti huwa wanaogopa au wanashindwa kuzoeana na mtu anae funga vioo so funguka kuwa social jichanganye kwenye outing mbalimbali za rafiki zako waweza pata mtu yupo idle kama wewe.Ila usiweke taizi mbele kaka kuwa simple without mashauzi mabinti hawataki vitu hivi.
 
pole saana
usikwazike na waliokujibu vibaya
mimi kama mwanaume nimeelewa tatizo lako
infact ni tatizo linalowakumba watu wengi mno
hasa wale ambao chuo au high school walikuwa popular......

The best way ni kuhakikisha unajifunza new skills za kujichanganya na watu
katika adult level.....tofauti na high school......

Wadada watu wazima akikuzimia sio rahisi kukutongoza
but ukiwa mjanja utajua tu......so jifunze kuwasoma wadada
now.....ofisini au mitaani...wapo wanaokuzimia but wewe huwaoni now..

Bado unafikiri wakikuzimia,watakufuata kama high school......

thanks the boss pamoja na wachangiaji wengine kama wawili hivi mmenishauri vyema,
wengine wamelazimisha kuelewa wanavyotaka wao, na mtu ukisema ukweli unaonekana unajisifu.
 
Zpo wewe siyo mzima,mfano umesema ulikuwa na wapenzi 7 ulitembea nao alafu kupima ulipima wewe tu,umesema ungekuta negative basi ungeacha na kweli ulikuta huko - lkn cjui ulipima mara ngapi? Wewe bado kijana then kuambiwa kuwa ur +HIV siyo poa kwani ungekufa mapema ndo maana uliambiwa negative kusudi upunguze au uache uzinzi kusudi usiambukize wengine.
Ushauri kuwa na msichana au kuoa siyo lazima kana kwamba uone una gundu pia yawezekana habari zako zilijurikana kutoka kwa mipenzi mingi uliyokuwa nayo.
 
Inavyoonyesha we ni domo zege unasubiria wakosaji kama wewe.
Jitume, usisubirie wakutongoze.
 
ulifanya jambo jema kuamua kutulia enzi hizo, lakini kutokana na maelezo yako inaelekea hukuwahi kutongozwa ilikuwa ni vise versa, nina uhakika hapo unapoishi au unapofanya kazi kutakuwa kuna msichana umempenda chukua hatua ya kumwambia usisubiri kutongozwa
 
Mkuu unashindwa nini kuwatongoza mbona wapo wengi sana, yaaani huwa nashindwa kuelewa kabisa kwa mwanaume kulalamika kutopata mchumba au unakuta mwanaume anatafuta mwanamke wa kuoa mitandaoni wakati wengi sana unakutana nao kazini, nyumbani, mtaani, bar, kanisani, msikitini kooooote huko ni nini tatizo hasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom