wanabadilika sana na wanatabia ya kuweka mambo kama kinyongo hivi so huwez jua ukiwa nae anawaza nini juu yako..na muda mwingi hawajielewi wanataka nini wapo wapo tu
thats good lakini pia unamatokeo.mazuri kwanini usiangalie kuwa tutorial assistant kwenye vyuo vya finance and.accounting meanwhile unatafuta.kazi zingine polepole
kwanza poleni na.tatizo..inabidi awasiliane na.ofisi.za.ubalozi wa.tanzania..waone namna gani wanaweza.msaidia procedure za kubadili passport names using new birthcertificate..as long as hata majina yaliyopo kwenye birth certificate ni tofauti na hayo ya kwenye cheti.
i think inategemea na kiwango cha ujuzi/elimu na uzoefu ulio nao katika maswala mbalimbali ,pia Tanzania ya sasa imenuka na rushwa and corrupted government at large so unakuta professionalism inaachwa na wana associate mafanikio na siasa ndo mana inakuwa ngumu ukirudi kupata breakthrough kwenye...
Kazi yoyote unayoapply kuna mambo mbalimbali ambayo unatakiwa uyajue
1.Job des3criptions/profile ya hiyo organization unayotaka kujoin to impress them that una interest of working with them.
2. Positive attitude ya kuonyesha kwamba even if some of the things you don't have much experience on...
naomba kujua how to connect blackberry phone in my case 8520 via bluetooth to my laptop so that i can use it to access internet using the same data plan for this blackberry,ninatumia data plan ya TIGO kwenye internet.manake nikiunganisha as the modem ina kata hela kwenye balance yangu ya kawaida
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.