Hints za interview za utumishi

MAUBIG

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,038
854
Natumai nyote wana JF ni wazima

Kwa kauzoefu kangu kadogo kuhusu written interview za tume ya ajira
1. Watakiwa urudi tena kwenye madesa yako yaliyojaa vumbi kutegemeana na nafasi uliyoomba kwa mfano kam uliomba nafasi ya Tutorial assistant- marketing please rudi tena kwenye madesa yako ya marketing
2. angalia vizuri sana job description yako maana kuna baadhi ya vitu wanaweza kukuuliza wavitambuaje simaanaishi uende ukaikariri mfano kama uliomba nafasi ya examination officer wanaweza wakakuuliza wafahamu vipi kuhusu confidentialty and security as far as your job is concerned.


kwa wenye uzoefu zaidi kuhusu hili, funguka kwa mawazo chanya, please kama unaona huwezi please do not write rubbish this is the forum and home of great thinkers
 
Kazi yoyote unayoapply kuna mambo mbalimbali ambayo unatakiwa uyajue

1.Job des3criptions/profile ya hiyo organization unayotaka kujoin to impress them that una interest of working with them.

2. Positive attitude ya kuonyesha kwamba even if some of the things you don't have much experience on them but your flexible of knowing them kwakusema wewe ni fast learner.

3.kumbuka confidence pays attention sio lazima kujua kila kitu but they way you express all those few things that you know in a special way utajikuta ume stand out of the crowd...kuna watu wana win interviews kwa ufundi wa kujieleza tuu
 
Back
Top Bottom