Recent content by Da sleeping Giant

  1. Da sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania KERO Sehemu ya Kuabudia Airport izingatie Dini zote

    Itoshe kusema unapambania jambo la kijinga
  2. Da sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa tatizo langu la hedhi endelevu

    Tuna differential diagnosis nyingi za hiyo abnormal uterine bleeding znazotofautiana kwa umri,una umri gani na unatumia hormonal contraceptive ipi.
  3. Da sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuingia JWTZ

    Nataka kutumikia wananchi huko mkuu
  4. Da sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuingia JWTZ

    Asante mkuu Asa
  5. Da sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuingia JWTZ

    Habari wakuu, heshima kwenu wakubwa kwa wadogo Najua humu kuna watu wa kila aina wenye kufahamiana na watu wa kada mbalimbali mnaoweza kuwa msaada kwangu siku zijazo Mimi ni mtanzania kutoka kanda ya ziwa mwenye miaka 27 na Medical Doctor naomba mwenye connection za kusaidia kuingia JWTZ...
  6. Da sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania Hatutarajii Julius Mtatiro kufanya uzinduzi wa Guest House huko Shinyanga

    Mheshimiwa anakwambia Gest😃😃
  7. Da sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania Kozi Gani ya afya inasoko mjini kufikia mwaka 2030

    Wewe hujui kila kitu ila ni keyboard worrior tu,usikute uko kwenye kijiwe unapiga story za crown fm ya alikiba
  8. Da sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania Natabiri mechi ya leo kati ya Mancity na Liverpool kutakuwa na maamuzi mabaya kutoka kwa Refa VAR

    Mbona hamna utabiri wowote special uliyoyasema hutarajiwa kwenye mechi yoyote, tuambie specifically ni kitu gani kitatokea ndugu mtabiri tofauti na hapo utabiri wako hauna maana
  9. Da sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania Madaktari wengi ni misukule walio hai

    psychiatrist to review
  10. Da sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa kumi huu au zaidi umeajiriwa (unatumwa tumwa tu); je, ni kitu gani kinakufanya usijiajiri?

    wacha tuajiriwe raisi mwenyewe kaajiriwa sembuse sisi
  11. Da sleeping Giant

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa ulichomfanyia mdogo wangu, tutakutafuta tu ewe mwanamke

    muwe mnaangalia na familia za kuoa mtakuja kuzaa vichaa:D:D:D:D
  12. Da sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

    Kuna topic zingine ukizisoma unaona aibu watu wanavozalilisha uanaume,hizo ni itikadi za kishoga Mwanaume rijali huwezi kuwaza habari za nywele za haja kubwa
  13. Da sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania Kuna msanii ataaga label yake muda simrefu

    Ndo tatzo la kutoa taarifa ukiwa kwenye boda ukifukuzia demu mitaani
  14. Da sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wana kipaji cha kudanganya aisee

    We na jamaa yako wote hamjitambui
  15. Da sleeping Giant

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Halmashauri zetu ni pasua kichwa katika kuhudumia wananchi

    Hivo ndo vitu vinatokea kwenye manispaa ya ilemela mwanza ni mwezi umepita sasa namba ya nida sipati naambiwa mtandao. wabongo tunacheleweshana sana
Back
Top Bottom