Natabiri mechi ya leo kati ya Mancity na Liverpool kutakuwa na maamuzi mabaya kutoka kwa Refa VAR

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,713
29,070
Mzuka wanajamvi!

Ni mechi inayosubiriwa kwa hamu sana na wapenzi wa mpira duniani. Ni kati ya mabingwa wa uingereza Fa premier league Manchester City dhidi ya Liverpool.

Ukizingatia msimamo wa ligi Arsenal inaongoza kwa pointi 64 na kucheza mechi 28 baada ya kushinda mechi yake jana 2-1 dhidi ya Brentford.

Liverpool iko nafas ya 2 na point 63 mechi 27 ikifuatiwa na mabingwa Manchester city 62 mechi 27 kama liver. Yani ligi taiti kichizi na kusisimua kati ya hizi timu Tatu. Mshindi bado atabiriki.

Mechi hii ya leo itakayoanza baada ya lisaa limoja na dakika 20 navyoandika huu uzi natabiri itakuwa na ushindani mkali sana. Rafu nyingi na kadi nyingi zakutosha za njano hata nyekundu.

Natabiri pia maamuzi mabovu na ya kutatanisha ya VAR.

Sare itakuwa furaha kwa Arsenal.

Nawatakia utazamaji mwema.
 
Game iiishe sare, Maombi kutoka Gunners.
 
Back
Top Bottom