Kwa ulichomfanyia mdogo wangu, tutakutafuta tu ewe mwanamke

Hahaha. Kama hii story ni kweli. Hivi inakuaje watu wanashindwa kutambua mtu aliyerukwa na akili baada ya kumuangalia machoni na kuongea nae?
 
Ewe mwanamke Agnes kwa nini umeyafanya haya? Yani nimekukaribisha na kuwasululisha vizuri maugomvi yenu alafu nilipoondoka ukafanya haya? Uliomba msamaha wa nini sasa kama bado ulikuwa na kinyongo?

Ni hivi huyu mwanamke ni mpenzi wa mdogo wangu kwa muda wa mwaka mmoja lakini waligombana na kuachana kwa muda wa mwezi mmoja kwa sababu walikuwa na ugomvi, sasa juzi nikaitwa kwenda kuwasikiliza na kila mmoja akafunguka kivyake na mwisho wa siku ikaamuliwa yameisha na kila mmoja asahau yaliyopita, mwanamke akaandaa ugali tukala na mimi nikaendelea na shughuli zangu.

Cha ajabu leo nimepigiwa simu niende nimekuta mwanamke amebeba kilicho chake na kutoroka kusikojulikana na simu zake hazipatikani huku ameacha amejisaidia haja kubwa ya kutosha kwenye mabegi ya nguo za mdogo wangu, amekojolea kwenye unga, sukari, na amepaka mavi kitanda kizima!

Yaani mlango wote umepakwa kinyesi ukiingia tu unakanyaga kinyesi, diaba la maji kinaelea kinyesi! Yaani amekishusha hasa sijui alikula nini tu!

Wana jamiiforums tunaomba mawazo yenu tukimkamata huyu tumfanye nini?

Hapa tupo tunafua nguo, inasikitisha sana kwa umri na busara zangu nilizonazo kufua kinyesi cha mwanamke fulani tu ambaye nilimuheshimu kama shemeji!
When a woman is fed up,nothing you can do about it...
 
Cha ajabu leo nimepigiwa simu niende nimekuta mwanamke amebeba kilicho chake na kutoroka kusikojulikana na simu zake hazipatikani huku ameacha amejisaidia haja kubwa ya kutosha kwenye mabegi ya nguo za mdogo wangu, amekojolea kwenye unga, sukari, na amepaka mavi kitanda kizima!
Huyu uchawi atakuwa nao sio bure.
 
Huyu mwanamke alikuwa ana harisha au ?!

Ila wanawake wana kunya aisee, alafu wana jifanya wasafi.
Eti zamani nilidhani wanawake hawajambi kwa jinsi wanavyokuwa wasafi,wazuri kumbe WEEEEE WEEEEEE!! moto wa kuotea mbali kuliko hata sisi wanaume.

Acheni unafiki wanawake.

Hapa nazungumzia wasichana wa sasa toa mama zetu kwa heshima.
 
Ewe mwanamke Agnes kwa nini umeyafanya haya? Yani nimekukaribisha na kuwasululisha vizuri maugomvi yenu alafu nilipoondoka ukafanya haya? Uliomba msamaha wa nini sasa kama bado ulikuwa na kinyongo?

Ni hivi huyu mwanamke ni mpenzi wa mdogo wangu kwa muda wa mwaka mmoja lakini waligombana na kuachana kwa muda wa mwezi mmoja kwa sababu walikuwa na ugomvi, sasa juzi nikaitwa kwenda kuwasikiliza na kila mmoja akafunguka kivyake na mwisho wa siku ikaamuliwa yameisha na kila mmoja asahau yaliyopita, mwanamke akaandaa ugali tukala na mimi nikaendelea na shughuli zangu.

Cha ajabu leo nimepigiwa simu niende nimekuta mwanamke amebeba kilicho chake na kutoroka kusikojulikana na simu zake hazipatikani huku ameacha amejisaidia haja kubwa ya kutosha kwenye mabegi ya nguo za mdogo wangu, amekojolea kwenye unga, sukari, na amepaka mavi kitanda kizima!

Yaani mlango wote umepakwa kinyesi ukiingia tu unakanyaga kinyesi, diaba la maji kinaelea kinyesi! Yaani amekishusha hasa sijui alikula nini tu!

Wana jamiiforums tunaomba mawazo yenu tukimkamata huyu tumfanye nini?

Hapa tupo tunafua nguo, inasikitisha sana kwa umri na busara zangu nilizonazo kufua kinyesi cha mwanamke fulani tu ambaye nilimuheshimu kama shemeji!
Mleni tiGo huyo
 
Back
Top Bottom