Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 477
- 1,246
Hakuna kitu kinachokera kama umeenda Halmashauri kupata huduma haraka iwezekanavyo halafu ukute mtumishi anayepaswa kukuhudumia yupo anapiga stories na watu wengine ofisini zisizohusiana na huduma anayotoa inakera mnoo mpaka usubirie wamalize stories zao zaidi ya saa imeisha umesimama nje unasubiri huduma
Au watumishi wanaenda kunywa chai zaidi ya saa 2 inakera sana au njoo kesho sasa hivi tuna kikao au kuna sehemu tunaenda kuangalia miradi na huku umetumia gharama kubwa za usafiri na jiografia zetu zilivyo inakera sana
Au mpaka mtumishi fulani mkuu wa idara fulani ndo awepo upate huduma kama hayupo njoo kesho
Kuna watumishi wengine ni kuzunguka zunguka ofisini anaingia humu anatoka anaingia kule hatulii ofisini ahudumie wateja inakera sana
Wizara ya TAMISEMI iangalie hili ni kero kwa wananchi waendapo kupata huduma kwenye Halmashauri zetu, wamekaa kimtego wa kutoa rushwa ili uhudumiwe haraka
Mkurugenzi mtendaji akiwepo ndo wanajitahidi kutoa huduma, akisafiri watumishi wapo na mambo yao na utaomba pooh, danadana zitakuwa za kutosha
Mh Mchengerwa na TAMISEMI ondoa usumbufu kwenye Halmashauri zetu