Recent content by Currentmeter

  1. Currentmeter

    Natafuta gari ya kununua

    Kama ni gari Mkuu,tafuta pesa nzuri nenda show room achana na maneno ya madalali utilizwaa...
  2. Currentmeter

    Mimi ni kijana mwenye umri wa takribani miaka 30 nahitaji mwanamke

    Habari wana Jf, Mimi ni kijana mwenye umri wa takribani miaka 30 nahitaji mwanamke ambaye anayehitaji kuwa mke kwa dhati awe serious kwa kweli. Awe muislamu asizidi miaka 35,huduma zote kama mke atapata!masharti na vigezo kuzingatia!nasisitiza awe serious most of them mnakuja ku-ejoy watu,awe...
  3. Currentmeter

    Naona kama kwenye misiba ya watu wakubwa na matajiri, kuna kaubaguzi flani

    Mara nyingi kwenye misiba ya ki-kristo ndo vitu vya namna hii ndo vipo
  4. Currentmeter

    Waliowahi kudrill maji ya chini nipeni uzoefu hapa.

    Kwanza kafanye geological survey!hii bei inategemea na eneo lililopo!ili upate kujua unachimba mita ngapi kupata maji!!na bei ya kuchimba haipo constant,unaweza kuambiwa kwa mita ni kias flani pamoja na PVC na gravel! Kingine cha Tahadhari,si kila ukichimba maji lazima uyapate!!unaweza ukaambiwa...
  5. Currentmeter

    Kwako mkurugenzi wa PCCB

    Bahat nzur huyu alikuwa Ras Kagera amekuckia
  6. Currentmeter

    Nahitaji wa fadhir wa mirad

    Kuna baadhi ya binadamu huwa mna roho ngumu sana!!!!wepesi kukwamisha wagumu kutoa msaada!
  7. Currentmeter

    Nahitaji wa fadhir wa mirad

    Ukiwa individual huwez pata?
  8. Currentmeter

    Jipatie simu za Samsung na Iphone original

    IPhone 6 bei? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Currentmeter

    Ni wangapi wanakumbuka jina la mwalimu wa darasa la kwanza?

    Kachembele,sariko Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Currentmeter

    Alumni Short Course India - Tanzania Gvt

    Yah huu uzi ulinisaidia sana nkafanikiwa!nafac zipo tuzitumie Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Currentmeter

    Mwanamke mwenye uhiitaji wa kuolewa

    Allahuma ameen Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Currentmeter

    Mwanamke mwenye uhiitaji wa kuolewa

    Naomba nikiri kwamba mi ni kijana wa miaka 29,sijaoa nahitaji mwanamke mwenye kuhitaji kuolewa,kama atakuwa muislamu itafaa zaid,sichagui kabila,umri niutakao asizid miaka 35,huduma zote za msing atapata kadri uwezo wang utakapukua unaweza!Elimu angalau iwe ya kidato cha nne!Karibun! Sent using...
  13. Currentmeter

    Tunauza gravel (kokoto) za kisima kwa bei nafuu Dodoma

    Tunauza gravel(kokoto) za kisima kwa bei nafuu Dodoma na pia tunasambaza kwa anaehitaji popote nchini kwa mawasiliano ni 0752779607!
  14. Currentmeter

    Msaada; Kuondoa Pipes Kwenye Kisima Kirefu

    zingatia ushauri huu mkuu...
  15. Currentmeter

    Yuni Company: Tunafanya utafiti wa maji chini ya ardhi kabla ya kuchimba kisima

    Kwanza kabisa mkuu kuna sheria ya rasilimali za maji namba 11 ya mwaka 2009,ambayo inamuhitaji mtu yoyote anayechukua maji kutoka kwenye kisima,bwawa,mto kuwa na kibali kutoka ofisi za bonde husika.hivyo cha kwanza unatakiwa upate kibali cha kisima hapo kuna tararibu zake utapewa ikiwa upime...
Back
Top Bottom