Natafuta gari ya kununua

Natafuta gari ya kununua

Nashangaaga sana watu wanaotumia kigezo cha mwanamke kuuza gar! Kwani wao wanabara bara zao? Au gar zao ni maalumu? Wanawake ndo wako rafu sana na sio watunzaji!
Eti kwa vile hawana misele mingi kama mababa
 
Nashangaaga sana watu wanaotumia kigezo cha mwanamke kuuza gar! Kwani wao wanabara bara zao? Au gar zao ni maalumu? Wanawake ndo wako rafu sana na sio watunzaji!

Hawajui lolote kuhusu services za magari wao ni kuwasha na kuondoka ni wanaume ndio wanahudumia hayo magarii... sasa kuwatumia kama kigezo ni kukosa uelewa wa magari tu kiujumla
 
Chif kama ni gari yako ya kwanza ni bora uongeze mzigo angalau kwenye m6 au saba upate gari nzima na ya uhakika.
M4 utashikishwa kimeo,muonekano wa nje unaweza kuwa poa ila gear box,engine n.k pakawa na shida kubwa.
 
Asant mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom