Yuni Company: Tunafanya utafiti wa maji chini ya ardhi kabla ya kuchimba kisima

Currentmeter

Member
Jun 8, 2017
25
10
Yuni Company tunafanya utafiti wa maji chini ya ardhi kabla ya kuchimba kisima(geo-physical survey) kwa gharama nafuu kabisa katika mikoa yote nchini, Na pia tunakuunganisha na kampuni ya uchimbaji inayofanya kazi kwa gharama nafuu na pia tunatoa ushauri kuhusu visima vya maji bure bila malipo yoyote.
Mawasiliano yetu ni 0752779607.
Karibu,tupo kukusaidia.
 
Safi mkuu, hivi kwa mtu ambaye anakisima na anasupply maji kwa wananchi na kwa vile hakuna maji ya kunywa wananchi wanayatumia maji hayo na kisima kama maji ya kunywa. Je sheria itakubana Kiupande wowote au hakuna tatizo? Shukran
 
Kwanza kabisa mkuu kuna sheria ya rasilimali za maji namba 11 ya mwaka 2009,ambayo inamuhitaji mtu yoyote anayechukua maji kutoka kwenye kisima,bwawa,mto kuwa na kibali kutoka ofisi za bonde husika.hivyo cha kwanza unatakiwa upate kibali cha kisima hapo kuna tararibu zake utapewa ikiwa upime hayo maji kama yana ubora unaotakiwa kwa watu kutumia kwa matumizi ya binadamu na kadhalika.Nawasilisha kwa maelezo zaidi unaweza kunipigia
 
Back
Top Bottom