Wadau tukutane hapa jamvini wale tuliowahi kwenda kusoma hizi kozi za muda mfupi India. Kitu gani umejifunza ukiwa huko india kinaweza kusaidia nchi yetu ya Tanzania. Na chuo gani unaona trainer wake wako vizuri kwa proffessional mbali mbali.
Me nilienda chuo kinaitwa UTL( UTL Technologies Ltd ) kipo bangalore, Kwenye hiki chuo nilienda kusoma maswali ya CCNA na CCNP, Nilichojifunza kwanza kabisa wenzetu wako mbali, trainer wako tayari hata jumapili usome na pia shule unayopata hapo kwa kweli imenitoa tongo tongo kuhusu network kwa ujumla. Na hawa jamaa mtu akimaliza chuo or college kwa nchi yao lazima apite kwenye hizi training institute ili kujinoa zaidi.
Ningeomba na nchi yetu ifanye hivyo...watu wa technology na proffessional kama za uhasibu wapite chuo ambacho ni specialization ili kuwafanya wa qualify kupambana na soko la ajira na nchi zingine. Kwa sasa watanzania wasiangalie ajira Tanzania tu kuna soko la ajira kubwa sana nchi kama Sudan/Juba, Malawi, Botswana na Congo. Ni sisi tu kujiamini kupitia hizi training.
Mwisho Bangalore pako poa sana full kuenjioy.
Niwaombe vijana ombeni hizi course zipo wazi msiogope. Jaza online, ukimaliza nenda hospital pata vipimo kwa fomu yako, jaza english capability fomu, pata barua kutoka kwa mwajiri wako. Ambatanisha vyeti vyako na cheti cha kuzaliwa, PELEKA UTUMISHI.
utumishi
OR
https://itecgoi.in/stream_list.php
Wengine tupieni hapa.