Recent content by Criticism

  1. C

    Hatari: Mke amfumania mumewe akilawitiwa!

    Mshenzi mkubwa ww umeona wapemba na watanga ndio mashoga? kuwa na adabu na usitaje makabila wala rangi za watu. ww mwenyewe unaonekana huna adabu mshenzi mkubwa.
  2. C

    Kiasi gani mshahara IST (International School of Tanganyika) - Accountant nani anajua?

    wadau naomba mnisaidie IST mshahara kiasi gani?
  3. C

    Natafuta discs original za jembe la trekta

    Kaka habari, Njoo GMI (General Motors Investment Ltd) utapata hayo majembe quality kabisa. Tupo Pugu Road opposite na Pepsi kuna jengo kumbwa la vioo juu limeandikwa GMI na mapango madogo madogo yameandikwa Dewalt,new holland, peogeot n.k Namba ya simu ya muuzaji (sales person) anaitwa Farahani...
  4. C

    Mwingira amlaani mchungaji Loliondo!

    Mwingira yuko sahihi.
  5. C

    GE2010 Taarifa kwa makame na dr.slaa

    Hana ushawishi huo usijidanganye.
  6. C

    GE2010 Umasikini utaongezeka kama hatutafuti haki yetu ya kweli

    ilikujikomboa na umaskini kuwa mjasiria mali hata hilo nalo hufahamu na kampeni zimejaa tele. Badilika kuwa mjasiria mali ukitegemea raisi akuletee pesa hutapata ng'o.
  7. C

    GE2010 Damu isimwagike

    huna hoja nenda kalale
  8. C

    GE2010 Damu isimwagike

    Thinks twice, Slaa want to bring violence because he has to do like what Shujaa Seif Sharif did, he won but he decided not to compete which may cause killlings like previous years. Open your eye Bro/SIst
  9. C

    GE2010 Damu isimwagike

    Kwanini ufikirie unaibiwa kila siku? mawakala wenu wanafanya nini? ndio maana watanzania hatuendelei kwa kuamini uongo na uzushi.
  10. C

    GE2010 Dr slaa anataka hiki............

    mimi nashangaa sana kazi yao kulalamika tu, Chadema mnataka kuleta fujo. Ole wenu majaribu, mtakiona cha.................
  11. C

    GE2010 Damu isimwagike

    Jamani CHADEMA tunaomba msimwage damu kubalini matokeo kwani asiyekubali kushindwa si mshindani.
  12. C

    GE2010 Kwa hili chadema hamtaeleweka

    hawana data za kuosha kelele tu
  13. C

    GE2010 Dk. Slaa akataa matokeo

    kama akipata uraisi si kila siku watu wataachishwa kazi? unafikri kujiuzulu rahisi?
  14. C

    GE2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    kama huna cha kusema kamsaidie mkeo kupika
  15. C

    GE2010 Dr. Slaa alikuwa anaongoza Kwa 61.6% - Marando

    data unazo au kelele tu?
Back
Top Bottom