Umasikini utaongezeka kama hatutafuti haki yetu ya kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umasikini utaongezeka kama hatutafuti haki yetu ya kweli

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kishalu, Nov 4, 2010.

 1. K

  Kishalu JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 850
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  Ni ukweli uliyo dhahiri kuwa zoezi zima la uchaguzi liliendeshwa kwa njia ambazo zinaonekana kukipendelea chama tawala na kwa sasa kilichobaki ni kwa sisi watanzania ambao tunataka kutoka kwenye umasikini kutetea haki yetu kwa njia yeyote maana hata wakati wa ukoloni mababu zetu walijitoa kwa moyo mmoja kwa nini sisi tunaogopa?

  Nawakilisha wajume
   
 2. C

  Criticism Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ilikujikomboa na umaskini kuwa mjasiria mali hata hilo nalo hufahamu na kampeni zimejaa tele. Badilika kuwa mjasiria mali ukitegemea raisi akuletee pesa hutapata ng'o.
   
 3. d

  dotto JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hoja yako ni ya kibinafsi zaidi!!
   
 4. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Tuingie msituni kama MU-7
   
Loading...