Hatari: Mke amfumania mumewe akilawitiwa!

Hatari: Mke amfumania mumewe akilawitiwa!

Naona huyu dada atakuwa kikwazo cha hawa jamaa kuoana. Bora aondoke awaache waoane kabisa maana maandiko yanasema "Alaaniwe alalaye na mwanamume mwenzake kwa mfano wa kulala na mwanamke na watu wote waseme amina" Ila amweleze haya ndipo aondoke asijitie unajisi.
 
Huyo mwanamke aanze kuvuta bangi...kwa akili ya kawaida hawezi kuishi nae!!!disgusting....:majani7::shut-mouth:
 
duh! Mrudie Mungu,piga maombi kwa sana naamini siku moja atajibu.Ingawa ni ngumu...pole mama hayo huwa yanaitwa majaribu...
 
huyo mwanamke avumilie tu,haki yake ya ndoa si anaipata kama kawaida.?
 
Mimi sina imani na hii mada. Inawezekana mleta mada ni mwanaharakati wa ushoga au shoga mwenyewe. Isije ikawa anajifanyia kampeni ya ushoga kwa hadithi za kutunga. Ukisima tu hayo mazingira ambayo hiki kitendo kichafu kilifanyika hayashawishi kuona kuna ukweli wowote hapa.
Kampeni za ushoga zimepamba moto sasa barani Afrika. Kama mtu anaweza kufanya kitendo kibaya kama ushoga atashindwa vipi kutunga uongo ili watu wazoe ushoga na kuuona kitendo cha kawaida?
 
Nijuavyo mimi: Nguvu inayosababisha tamaa ya ngono kwa mwanaume ni sawa sawa na nguvu inayosababisha tamaa ya ngono kwa mwanamke. Nguvu hii haijalishi umeoa au umeolewa, muwako wa tamaa hauangalii hilo. So always if you are maried or have a relationship with someone, nguvu hii lazima unapigana nayo na ni lazima uishinde. Uzinzi siku zote unasababishwa na uwezo mdogo/udhaifu wa kuhimili muwako wa tamaa ya ngono. Hivyo unaachia tu.

------- wanakuwa na muwako huu wa tamaa ya kufirwa. Wakishindwa kuzuia muwako wa tamaaa ya kufirwa - wanaishia kufanya usenge waziwazi, na hivyo kupelekea wao kuhukumiwa na jamii husika.

Ninachojaribu kusema ni kuwa usenge ni udhaifu wa kushindwa kujisimamia tamaa zako za mwili kama ulivyo kwa uzinzi mwingine. Now, your sexuality is a sacred thing. You can never desecrate sex based on the gender of the person. Hatulaani uzinzi wa mwanamke na mwanaume kwa kuwa unaumiza roho ya wanandoa - hapana. Tunalaani kwa kuwa ndoa ni sacred institution. And any violation in this insttitution ni Uovu usiofaa.

Usenge ni wazimu ambao unatibika. Is a state of mind with a twisted picture of themselves that need dealt with. Huwezi mlaani akaacha,maana asipofirwa atakuwa anafikiria pia ambapo haitasaidia wanandoa au familia. Njia nzuri ni ya kumfanyia mentoring. Find a person whom they can work with to sort out their mental and emotional issues!
 
Kifarutz Kifarutz Kifarutz una hatari wewe, shaurilo!
Nasema hebu nipe logic ya ku-invest time and resources kushughulika na kumkomboa mtu kama Mbatia katika hii dhambi..! Kama anapenda kuliwa ni starehe yake..! And don't get me wrong hapa namaanisha huyu Mbatia wa CCM siyo yule wa NCCR mageuzi..!
 
hapo inabidi umshauri huyo mke wake asimuache bali ampeleke hospital akafanyiwe operation wanaita kupigwa bomba yaani unatolewa ile ngozi ya juu ya sehemu ya haja kubwa sababu sperm hua zinasababisha muasho sehemu za haja kubwa na ili ujisckie fresh ni lazime utafte mtu ale tigo yako na kadri unavyoliwa tigo ndio sperm zinazidi kukaa sehemu hiyo na huo mchezo huwezi acha mpaka operation ndo mana wanawake wanaotoa tigo hua hawaachi na hua wanapenda sana kutoa tigo kuliko sehemu husika na kwa mwanaume ni hivyo hivyo ....njia pekee ya kumnusuru ni kumpeleka kwa docta then mtajua mfanyeje

kama hili linawezekana basi litakua msaada sana,asimuache kiivyo ajitahidi kumfichia siri,pia asisahau kumuomba Mungu ktk kipindi hichi kigumu ktk ndoa na maisha yake kiujumla
 
Mimi ndo maana nilisuport dunia iishe ile 21 december mwaka jana, haya yasingekuwepo, unayejihis una kapepo ka ushoga, ni_PM tukutane, tuone kama utaendelea na hako katabia kako. Wengi wao wanakutana na vidume goigoi ndo maana wanapata hamu ya kurudia. Ukikutana na mimi, NAKUAPIA HUTORUDIA TENA USHENZI HUO,
 
Daah kiukwel nmeckitishwa xana na hii xtory kiukwel ningemshaur huyo mama aachane na mumewe tuu hakuna tena umuhimu wa kuendelea kuish nae
 
mungu wangu!!! Hyo mwanaume mpemba au wa tanga?

Mshenzi mkubwa ww umeona wapemba na watanga ndio mashoga? kuwa na adabu na usitaje makabila wala rangi za watu. ww mwenyewe unaonekana huna adabu mshenzi mkubwa.
 
Wana MMU habari zenu?

Nianze kwa kuwatakia heri na fanaka katika mwaka mpya wa 2013.

Hili ninaloliandika limemtokea jirani yangu, ambaye pia tuna mahusiano ya kiofisi zaidi - niliwafanyia kazi fulani ofisini kwao hivyo tukajenga mawasiliano ya kikazi, na kwa vile ni majirani basi kukawa na kaukaribu fulani hivi.

Juzi nikapata taarifa kwamba amelazwa hospitali anaumwa. Kiungwana nikaenda kumjulia hali hospitali; si nikamuuliza nini kinamsumbua, lol alichonijibu ndiyo kilichosababisha nianzishe huu uzi.

Siku ya tukio bidada aliondoka asubuhi kwenda kazini kama kawaida yake, huwa anawahi kutoka kabla ya mumewe ambaye ofisi yake ipo karibu zaidi na nyumbani. Muda wa saa nane hivi akalazimika kurudi nyumbani kwa kuwa alikuwa hajisikii vizuri akahitaji kupumzika (kawaida hutoka kazini saa 11 na kufika home around saa 12). Anasema alipokaribia mlango wa mbele wa nyumba yao akawa anasikia sauti za miguno ambazo si za kawaida, akaingia kupitia jikoni, akamuuliza housegirl ni nini hicho nakisikia, binti anamtolea macho tu bila kumjibu. Kumbe binti alikuwa anajua kinachoendelea ila akashindwa amwambieje boss wake!

Kuingia chumbani alichokikuta hakukiamini, anamwona mumewe ameinamishwa analawitiwa na rafiki wa mumewe ambaye anamfahamu vizuri na kumheshimu kama shemeji! Akazirai hapohapo, kushtuka ndio anajikuta yupo hospitali.

Huyu dada yupo kwenye ndoa na mumewe kwa miaka tisa sasa na wana watoto wawili. Anasema hakuwahi hata kuhisi kama mumewe ni shoga. Hana hamu tena kuendelea na ndoa.

Ushauri wenu wana MMU tafadhali dada afanyeje? Ndio ameshamkuta mumewe akiliwa na mwanaume mwingine, tena chumbani kwao, juu ya kitanda chao anacholala yeye na mumewe! Tena mume mtu ndio kanogewa na anatoa miguno na sauti za mahaba!

Amtafute mke wa huyo shemeji yake ambaye ni basha wa mumewe nae asagane nae tu.
 
Waachane aisee.. Au niite kutengana kwa muda..Walau muda upite,wawe wakitafakari hilo zahma.. Maana hata kwa huyo mwanaume,nina hakika ana majuto makubwa... watengane hata miaka ipite huku wakifuatiliana nyendo zao..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom