Natafuta discs original za jembe la trekta

John Deer

Member
Sep 15, 2011
36
9
Ninatafta discs ambazo ni original maana maduka mengi dar zimejaa za pakistani.Mwenye taarifa anijuze
 
JD 3050 - Kama unaweza subiri kuna mzigo unaingia TZ (Toka UK) mwanzoni wa January, ukihitaji naweza nikatumbukiza humo maana ntakua na nafasi kiduchu - ntakupa contacts au ingia online, walipe jamaa moja kwa moja then nipe namba zao walete hizo jembe mizigo yangu ilipo ili viondoke vyote no later than 15th December 2011. Mimi mzigo wangu ni wa Massey Fergusons na majembe yake.

Nijulishe
 
Kaka habari,
Njoo GMI (General Motors Investment Ltd) utapata hayo majembe quality kabisa. Tupo Pugu Road opposite na Pepsi kuna jengo kumbwa la vioo juu limeandikwa GMI na mapango madogo madogo yameandikwa Dewalt,new holland, peogeot n.k

Namba ya simu ya muuzaji (sales person) anaitwa Farahani +255713 705123 karibu sana.
 
Wadau habari za leo!!
Habari hii ililetwa siku nyingi miaka 4 ilopita.
Miye nimeagiza trekta aina ya Ford 7500 ila halina jembe wala tela.... Msaada kwenye tuta ninapataje jembe na tela kwa bei nafuu ya kijasiriamali.... Ama wapi wanakopesha zana hizo kwa wajasiriamali kama sisi.... Nipo kwa moddyguyz@yahoo.com ama 0787519910
 
Back
Top Bottom