Kiasi gani mshahara IST (International School of Tanganyika) - Accountant nani anajua?

Kiongozi umeitwa kwa interview nn coz nimeapply sio mda mrefu.

Mshahara si utaona kwenye mkataba au ukijua hautasaini mkataba.
 
Watu wanahangaika na kazi yeye yupo busy kuhangaika na mshahara

ndio tatizo la vijana wetu, wanaangalia sana wanachopata, sometimes wanapititwa na issue nzima ya kuanza, au kutoa, au kutumika

Nevertheless, ni vizuri tumjibu
 
kima cha chin unaanzia laki 4 nd t depnd wth ur pstn bab kama kuna mchng 2julshn cz me ni idol i gt nthng 2 kp ma slf bz
 
Doooo hawa jamaa waliwali kuniita kwenye interview writen,oral,practical (IT ASSISTANT) nikapita then wakaniita kwaajili introduction.lakini baada ya hapo wakanipotezea mpaka leo nasubiria from 2011.

Mkuu ulianza kufanyiwa introduction hata hujapewa mkataba???
 
Mijitu mingine bana badala ya kuangaika upate kazi unauliza mshahara nafikiri hauja kaa vizuri mtaani niulize nagonga miaka mitatu
 
Mijitu mingine bana badala ya kuangaika upate kazi unauliza mshahara nafikiri hauja kaa vizuri mtaani niulize nagonga miaka mitatu
Upo mtaani miaka mitatu kwa sababu ni mjinga kwa mtazamo huu... Wewe unaona mwenzio anaeuliza mshahara ni mpuuzi but anafanya jambo sahihi sana
 
Back
Top Bottom