Recent content by CORONAZ

  1. C

    Wanaoongoza kuinyonya Afrika sasa ni Asia, sio wazungu au Magharibi

    Hivi kwanini hauoni waarabu walivyotuharibia nchi
  2. C

    Ni kwanini wanawake siku hizi wamekuwa wabaya sana?

    Hebu fikiria mwanamke alikuwa wanafunzi wa kwanza kufundishwa na shetani na kufuzu kumdanganya mwanaume. Alifaulu kwa 100% na mwanaume alikuwa mhanga wa kwanza.
  3. C

    Kama umeota ndoto kutoka kwa Mungu, yeye mwenyewe atakupa tafsiri. Usihangaike kuuliza watu

    Ukishindwa wewe unadhani basi wote hawawezi? Pole sana.
  4. C

    Rais Samia mteue Lengai Ole Sabaya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Hayo yaliyofanyika akaachiwa bado kuna mtu anadhani anafaa kuongoza? Unajua utaratibu wa kuajiri au kuteua mtu aliwahi fungwa? Jielimishe ndugu. Hata yeye baada ya kunusurika basi atakuwa mjinga sana kurudi kwenye serikali. Ila nadhani ccm anawafaa sana sana sana.
  5. C

    Kwenu bodi na viwanda ya Kahawa, chai,Cocoa

    Kama kuna zao lenye "ZERO" marketing strategy ni zao la kahawa. Huwezi hata kujua upo kwenye nchi au mkoa unaolima kahawa. Unywaji uko chini sana na bei ziko juu. Hakuna msukumo wa kuitambulisha na kuongeza unwaji wa Kahawa hata kwenye maeneo ya utalii. 1. Hebu angalia miji yetu, kama hunywi...
  6. C

    DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

    Kama mke sio mkurugenzi wa kampuni hana chake kwenye kampuni. Hakuna mirathi. Hajafa mtu. Sehemu ya mali waliochuma pamoja ndio. Jielimishe sheria. Usikurupuke
  7. C

    Maneno yafuatayo utayasikia kusini mwa Tanzania pekee

    Hiyo no. 1 na 2 hujafafanua
  8. C

    Nampeleka Mahakamani Mwanamke niliyezaa naye kwa kushindwa kumhudumia mwanaye. Hoja nitakazopeleka Mahakamani ni hizi

    Nimesoma hoja zako za kishuleshule na kimtaani. Ninachokiona hapo ni kuwa huna uelewa wa kutosha kuhusu malezi ya mtoto na aina ya michango ambayo kila mzazi anatakiwa ampe mtoto wake. Ni baba wa kwanza kumsikia anayejidai kutaka kutega kwenye kuihudumia familia yake !! Sasa kama chakula...
  9. C

    Kuna tatizo gani Ikulu ya Dodoma mpaka wageni wapokelewe Ikulu Dar es Salaam?

    Inategemea ratiba ya mgeni. Kama mambo mengi yapo dar wewe ungempokelea wapi?
  10. C

    Ziara za Paulo Makonda Aibu kwa Jeshi la Polisi na Wasimamizi wa Haki na Sheria

    Ukiniuliza mimi nitakuambia ni sawa hizo ziara ila wahusika hawafanyi maandalizi stahiki. 1. Nilitegemea kabla ya ziara chama na mbunge vingewaalika wote wenye kero zao wafike ofisi ya diwani au mbunge au ya chama wilaya na malalamiko yake na vielelezo yake. 2. Chama au mbunge kingechambua...
  11. C

    Mvutano: Ni kwanini Mungu alimruhusu mwanaume kuweza kuwa na mke zaidi ya moja kwenye biblia lakini makanisa yamekataza?

    Kuhani wa ibilisi. Hakuna mvutano bali fikra zako alizokushawishi ibilisi nawe ukakubaliana nazo. Hazina mashiko. Ni uchaguzi wako. Huwezi kubaki na 1 endelelea. Mungu anakusubiri huko mbele. AU BADILI DINI KAJICHANE. NA HUKO WANAISHIA 4, AU UWE MGANGA UOE UTAKAVYO.
  12. C

    Miaka 100 baada ya kifo chako, utazaliwa kwa mara nyingine ukiwa na mwili mpya

    Haya tuambie nani katika babu na bibi waliorudi na kuzaliwa upya huko kwenu?
  13. C

    Fatma Karume: Wamasai waheshimu Sheria zetu Wazanzibar

    Na ninyi msijibebeshe hayo majini !!
  14. C

    Mwanamke atakayepata Marks kuanzia 75% anaweza kuwa Mke wangu

    Weka cheti tuone ulipata ngapi? Kuna watu wamefaulu kwa maksi za juhudi ya shule na sio akili zao per see. Ukiongea nae huoni hiyo A au B yake !!! Fikiria tena
Back
Top Bottom