Recent content by core

  1. C

    JamiiForums Tanzania Hili la Loliondo tulifikiria au tulikurupuka!

    no comment
  2. C

    JamiiForums Tanzania napiga hodi

    karibu sana jamvini,jitahidi usome kanuni za humu ndani.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kadi yangu ya CCM niifanye nini?

    kuna umuhimu wa kufanya mapinduzi ndani ya CCM ili wale mafisadi wote waondoke.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Gazeti la majira linapogeuka ""ijumaa"",""sani"";aibu

    napata harufu ya udaku kwa mbaliiii :focus:
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya dada zetu wakiwa vyuoni

    pia tambua uwepo wa wadada walio safi kimatendo ambao waliingia vyuo na kumaliza bila kubadilika. pia kemea na wanaume wenye tabia za kubadili wasichana kama nguo.mtu anakuwa na msichana wa chuo,jimama la kumuweka mjini nk.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Hivi NCC inatambulika?

    jibu lajitosheleza vya kutosha
  7. C

    JamiiForums Tanzania Bank ya NMB inahitaji pongezi kwa kuepusha migomo na machafuko nchini

    duh! ni usingizi umekubana au?
  8. C

    JamiiForums Tanzania Zitto kugombea urais 2015?

    tusubiri muda ufike maana sasa ni mwendo wa tetesi tu
  9. C

    JamiiForums Tanzania Sasa ni Zamu ya Wazanzibar...

    mmeanza tena kuleta chokochoko. si ajabu unatumiwa wewe jamaa
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mishakaki ya Paka

    kuna watu wanastahili kufungwa maisha. watanzania tuwe makini na nyama kama hizi.ni bora ukanunua nyama buchani ukaenda choma nyumbani
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo: Kanisa litasema kweli bila kuogopa gharama!

    wapendwa punguzeni ukali wa maneno.huku tuendako si kuzuri kama viongozi wa dini watakuwa wanatoa kauli tata kwenye jamii.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kwa siku unakula sh ngapii???

    jitahidi kujipikilisha. nunua maandazi ukanywee chai kazini. mchana piga desh usiku nunua mihogo ya kuchoma hapo utakula buku kwa siku
  13. C

    JamiiForums Tanzania piiiii piiii piii

    asante kwa kunikaribisha
  14. C

    JamiiForums Tanzania piiiii piiii piii

    hahahhaahahaaaaaa....nashukuru kwa kunifungulia mlango
  15. C

    JamiiForums Tanzania piiiii piiii piii

    anyone home?
Back
Top Bottom