Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,845
Habari wakuu kwa kweli nakwera sana na tabia ya dada zetu hasa hawa wa vyuoni .kwa miaka minne niliyo kaa mlimani hili jambo limenisumbua sana ,maana tulipokuwa tunaanza chuo (ntatumia udsm as my reference) wadada wengi walikuwa wastaarabu wanajiheshimu sana .lakini baada ya kukaa ka semister na kupata kabumu kuanza kutumia vimemake up tu shida inaanza mabadiliko ya ghafla .na kunatabia kubwa wanayo dada zetu ya kurubunika kirahisi kwa tamaa za muda mfupi na kupenda makubwa huu umambo sasa(the mordenazation) kwa dada zetu unawaharibu. nina ushahidi kwa hili wasichana wengi pale chuoni wana hii tabia kwangu naona ni chafu sana ya mafiga matatu/Mwanaume zaidi ya mmoja (bwana wa madesa (kisovio)/mtu wakumsaidia kwenye masomo,beedeshe kwa ajili ya pesa ya matumizi akiishiwa bumu na handsome boy kwa ajili ya mitoko na show up za kizembe) kwa kweli dada zetu wanapokuwa vyuoni they are too material ,realistic hakuna wanasahau ulimwengu hauko hivyo
kuna maswali ningeomba dada zangu niwaulize hivi
as intelectual ya kupasa ufanye huu ujinga?
Hivi ukimaliza chuo cant you earn money na wewe uwe na gari lako au ndo mwanamke ameumba kwa utegemezi sawa ,but haki sawa maanake nini?
Huu umambo sasa ni halali tucopy na kupaste kila kitu ?
DADA ZANGU JIHESHIMUNI NYIE NDO MAMA WATOTO ZETU MIAKA MICHACHE IJAYO TAIFA LETU LITAKUWA LA NAMNA GANI JAMANI !!!!!!!!!!!!!!
...mnh, kwakweli hii ni hatari.
Wewe unawashauri wawe vipi sasa?
I mean, kati ya hao wanaume watatu, yupi bora?