Recent content by Coping Strategy

  1. Coping Strategy

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mafia isiwe mkoa wa 32 wa Tanzania?

    Mpk sasa kina barabara ya lami moja, ni destination pendwa ya watalii, ndo chanzo haswaa cha dagaa wa nyama, ambapo wacongo wamewekeza sana kwenye hii biashara kwa kuwatumia wazawa km wakusanyaji tu, kwasasa Crdb Bank imefungua tawi lake kuunganisha hii value chain ukizingatia na Congo pia Crdb...
  2. Coping Strategy

    JamiiForums Tanzania Nataka kuweka stop order kwa benki inayotaka kuuza nyumba yangu Mbeya Mjini

    Kuna kitu hujaeleza. Ila unapaswa ukaonane na manager, umueleze hal yako kibiashara, kiwango unachomudu kwa sasa kulipa ili waweze kukurekebishia mkopo wako uendane na hali halisi. NB. Kama bank inafata taratibu zote za kukupa mrejesho wa mdololo wa marejesho yako, hata mahakaman watashinda na...
  3. Coping Strategy

    JamiiForums Tanzania Wito: ITV isusie kutangaza taarifa zote za Manispaa ya Temeke mpaka pale DED Mwakabibi atakapotimuliwa

    “Habari mkurugenzi,mimi ni mtangazaji wa itv, upo ofisini nije”
  4. Coping Strategy

    JamiiForums Tanzania Esther Luxury Coach Mnachokifanya sio kizuri

    Hii kitu kilinikwaza sana.
  5. Coping Strategy

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    Maswali yakoje bro?
  6. Coping Strategy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa. Sina kazi na sina rafiki

    Mkuu avoid blame game. Be positive.
  7. Coping Strategy

    JamiiForums Tanzania Sakata la Ugomvi baina ya RC Gambo na Mkurugenzi wa Jiji Arusha lashika kasi

    Cc: pascal Mayalla
  8. Coping Strategy

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank utaratibu mnaotumia kuwaita watu kwenye usaili wa kazi ni wa kibaguzi

    Kama umeshindwa kupata NIDA ID tangu 2014. Utameet KPI? Sent from my iPhone using JamiiForums
  9. Coping Strategy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

    Nenda menu click factory setting. Itajiupdate
  10. Coping Strategy

    JamiiForums Tanzania Waliosoma Jitegemee Secondary School hebu ingieni hapa Tusalimiane

    Mkisi yupo wapi kwa sasa?
  11. Coping Strategy

    JamiiForums Tanzania Umewahi kupata mkasa gani barabarani?

    Millennial wanaendea kuharibu jf! Uzi mzuri comment za kitoto.
  12. Coping Strategy

    JamiiForums Tanzania Walinzi binafsi kwa Kondeboy na Diamond ni Business branding.

    Ile show ya jamafest diamond aliitwa kumsalimua Makamu wa raisi. Ule umati wote ulikua unakuja mbio kumsindikiza Nasseb, wale wazee wa gwanda za mabaka walipiga chujio la dk 3 alipita Naseb na tale. Hakuna cha baunsa wala camera man.
  13. Coping Strategy

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Kwema?
  14. Coping Strategy

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Lazima kulipa deni kama unadaiwa
Back
Top Bottom