Esther Luxury Coach Mnachokifanya sio kizuri

kimaus

JF-Expert Member
May 10, 2011
532
1,000
Ni ukweli usiopingika kuwa Esther Luxury Coach ni moja ya mabasi bora kwa safari za Dar-Moshi, Rombo, Arusha. Lakini nimesikitishwa na kitendo cha ofisi zenu za Shekilango kutokuwa na choo kwa abiria!

Hebu fikiria unatoka Moshi asubuhi sana, abiria wanajisaidia Korogwe, then gari haisimami popote mpaka Shekilango. Hapa nazungumzia Mabasi yenu yanayoenda mpaka Gongolamboto na Mbagala, ambapo baadhi ya abiria hapo Shekilango hawashuki.

Na hakuna hata choo cha kulipia angalau abiria wangejisaidia. Tafadhali wekeni choo hata cha kulipia.
 

Pantomath

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
235
1,000
Poleee, jambo la muhimu. Ila mkuu kama hauna tatizo na katika vinywaji unatavyotumia njiani umezingatia safari mbona kituo kimoja kinatosha.

Binafsi nikitoka ndio imetoka hio. Najua tunatofautina inabidi wazingatie hili sana.
 

kimaus

JF-Expert Member
May 10, 2011
532
1,000
Poleee, jambo la muhimu..
Ila mkuu kama hauna tatizo na katika vinywaji unatavyotumia njiani umezingatia safari mbona kituo kimoja kinatosha..
Binafsi nikitoka ndio imetoka hio..
Najua tunatofautina inabidi wazingatie hili sana.
Mkuu kwenye safari hawasafiri watu wa aina yako tu. Kuna wazee, wagonjwa! Have you given this a thought!
 

marxlups

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
13,794
2,000
Walete mabasi yenye vyoo ndani kama walivyofanya Scandinavia enzi zile
 

sumbai

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
15,231
2,000
Juzi nmepanda kwenda rombo basi nineambiwa lina chaging system but kupanda tuu hamnahata switch moja inayifanya kazi.
 

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
8,536
2,000
Loftins
Ndio maana nikakuambia hujaelewa!
Kwa hiyo wewe kwa uelewa wako maneno "si kweli" ni ubishi?
...hicho unachokazia kuwa ni ubishi, ndicho kinachodhihirisha hujaelewa!
Na sidhani kama utaelewa nilichomaanisha!
Siko kubishana ujue, bali ninamaanisha!
Pengine kidogo nimekufungua!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom