Sakata la Ugomvi baina ya RC Gambo na Mkurugenzi wa Jiji Arusha lashika kasi

SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,888
2,000
Huku kuingia katika Mizozo mara kwa mara ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo na Watendaji wake Waandamizi hapo Mkoani Arusha kutarahisisha Kazi ya Msemaji wa Ikulu Msigwa ya kupewa Tangazo la Utenguliwaji na Uteuzi wa Mtu muda si mrefu. Nimwombe tu Mkuu wa Mkoa wa Arusha awe makini mno tena Kipindi hiki kwani Kuviziwa Kwake Kuondolewa hapo kunakochochewa na Maadui zake ndani ya Mkoa na Chama hakujaanza leo.
Yametimia

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 

Mkirindi

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
6,376
2,000
Kwa ufinyu wa akili yako na wewe ni MNAFIKI mwingine unayemtetea MNAFIKI mwenzio. Mie sijui KUREMBA I called a SPADE by its REAL NAME unlike you MNAFIKI unayependa kuficha UOZO under the carpet.
Unajua MALAYA HUWAITA MALAYA, WENZIE WALIO WAZURI NA WENYE HESHIMA ZAIDI YAKE. sitajibishana matusi au kebhi nawe, kwani you are an expert in self exposing. Na pia kuna usemi wa kiingereza " NEVER ARGUE WITH A FOOL, PEOPLE WON'T NOTICE THE DIFFERENCE " endelea kuota watu Wanafiki
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
105,535
2,000
A FOOL is the one who is supporting the DICTATOR IN POWER who is so afraid of his wrong doings to the extent that he wants to shield himself and his PUPPETS from their SINS. Wapumbavu kama wewe ndiyo mnamvimbisha kichwa huyu yesu FAKE wa chato aendelee kutenda MAOVU Nchini. MPUMBAVU mkubwa wewe!

Unajua MALAYA HUWAITA MALAYA, WENZIE WALIO WAZURI NA WENYE HESHIMA ZAIDI YAKE. sitajibishana matusi au kebhi nawe, kwani you are an expert in self exposing. Na pia kuna usemi wa kiingereza " NEVER ARGUE WITH A FOOL, PEOPLE WON'T NOTICE THE DIFFERENCE " endelea kuota watu Wanafiki
 

Mkirindi

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
6,376
2,000
A FOOL is the one who is supporting the DICTATOR IN POWER who is so afraid of his wrong doings to the extent that he wants to shield himself and his PUPPETS from their SINS. Wapumbavu kama wewe ndiyo mnamvimbisha kichwa huyu yesu FAKE wa chato aendelee kutenda MAOVU Nchini. MPUMBAVU mkubwa wewe!
Nilipisema wewe ni expert in self exposing, i trully meant it. Kwenye haya majibishano baina yetu, mimi sijazungumzia lolote kuhusu Raisi Magufuli au siasa. Nilicho kizungumzia ni namna yluvyokuwa unamtusi Pascal.

Nimezungumzia kebehi zako kwa pascal tuu, imekuwaje ukanipeleka kwenye kumkingia kifua Dikteta au huyo yesu unayemjua wewe.

Ndugu kuwa focused na wacha kuwa kama KICHECHE.
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
105,535
2,000
Unaonyesha ufinyu wa akili yako tena!!! Nani asiyejua humu kwamba huyo MNAFIKI yuko busy humu usiku na mchana kumuonyesha huyo dikteta kwamba anastahili TEUZI.

Nilipisema wewe ni expert in self exposing, i trully meant it. Kwenye haya majibishano baina yetu, mimi sijazungumzia lolote kuhusu Raisi Magufuli au siasa. Nilicho kizungumzia ni namna yluvyokuwa unamtusi Pascal.

Nimezungumzia kebehi zako kwa pascal tuu, imekuwaje ukanipeleka kwenye kumkingia kifua Dikteta au huyo yesu unayemjua wewe.

Ndugu kuwa focused na wacha kuwa kama KICHECHE.
 

lembu

JF-Expert Member
Dec 31, 2009
5,819
2,000
Wajameni, nasimama na kauli yangu hii, ila kama ni kumhusu Gambo, niliisha zungumza kitambo!
Rais Magufuli, somo la managing diversity kwa Serikali yako linahitajika

My Opinion, Tanzania tuna tatizo kubwa la managing Diversity, and especially the political Diversity!.

Kunapotokea kutoelewana kwa watendaji based on principles, kwangu dawa sio kuwatimua, bali kuwasuluhisha, na ikikutikana hawapikiki chungu kimoja, unawapangua!. To me sio vyema kuwaadhibu viongozi vijana ambao ni performers kama Gambo, Makonda, Hapi, Mnyeti etc, hata kama wanavimba vichwa kwa masikio kutaka kuzidi kichwa!.

Gambo ndio alikuwa kiboko ya Lema, japo pia nilizungumzia ile kesi ya Lema kunyimwa dhamana kulikopelekea Mchagga kushindwa kwenda kuhoji, na kulia Christmas mahabusu, kama Gambo, ana mkono, ukijumlisha kisa cha Felix Kijiko Ntibenda na mengine tusio yajua, then usikute hii ni sehemu tuu ya malipo ya karma kwa Gambo kwa matendo yake!.

Hivyo kutumbuliwa huku kwa Mrisho Gambo inawezekana Lema ni mtu powerful wa ukweli, hivyo anaweza akalitwaa tena jimbo la Arusha!,
Ila pia kama ni kweli Lema is this powerful, and we are not sure what is the source of his powers, ikitokea ni nguvu za shetani, then tuzidishe maombi kwa Mungu Baba ili ile ndoto yake ya kishetani isije kutimia!. Mungu yupo, na shetani pia yupo!.
Mungu Ibariki Tanzania.
P
Managing diversity is a matter of context. Kwenye sensitive posts na kwa mazingira ya politics za huku kwetu, uvumilivu unatakiwa uwe na limits. Hawa waheshimiwa walisuluhishwa ila usuluhishi haukuzaa matunda na wangeendelea kuvumiliwa ingeleta madhara kwa serikali na kwa chama na hasa kwa wakati huu tunaelekea kwenye uchaguzi
Ninaposema context namaanisha managing diversity ya Tanzania ni tofauti na ya Ghana au USA au UK nk
Managing diversity is subject to maturity na civilization kwenye uongozi na siasa. Hao walipotofautiana wangekuwa civilized au matured kwenye leadership wasingeenda mbali kijinga hivyo
 

James Comey

JF-Expert Member
May 14, 2017
5,836
2,000
Duh...wajameni, nimekubali, nilichemsha, nilikosea, na mimi ni binadamu tu na sio malaika, hivyo naweza kufanya makosa, na kwenye hili la Gambo kwenye uzi huu, nakubali makosa, nakiri kosa, na ninaomba mnisamehe na yaishe.
Nawatakia weekend njema.
Paskali
Hapa sasa umekuwa human. Ila kinachonisikitisha mara nyingi wewe huzungumzia objectivity hasa katika kazi yako ya uandishi wa habari. Cha ajabu siku hizi umechukua sana upande na hii inajenga tafsiri tofauti zaidi ya unavyofikiri. Najua wewe ni binadamu una mapenzi yako binafsi kwa vitu, watu, vyama, hoja nk. Ila why kipindi hiki hayo mambo yanabainika sana kwako? Najua unpenda chama fulani hata Mimi napenda chama Fulani ila katika kazi yako to my knowledge inakubana kiasi Fulani kuonesha mapenzi yako waziwazi.
Siku njema
 

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
5,628
2,000
Mkuu Mfiaukweli, kwanza asante kunikumbushia post hii, nimekubali makosa, nilikosea, nilichemsha, na ninaomba msamaha mnisamehe,, na mimi ni binadamu tuu kama binadamu wengine wote, sio malaika, sisi ni viumbe dhaifu hivyo kukosa, ni kawaida, na kwenye hili la Gambo la kwenye uzi huu, nakubali makosa, nakiri kosa, na ninaomba mnisamehe sana na yaishe.
Nawatakia weekend njema.
Paskali

All sins forgiven.
 

secret file

JF-Expert Member
Sep 10, 2019
3,589
2,000
Ugomvi, chuki na uhasama baina ya mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na mkurugenzi wa jiji la Arusha, Dkt Madeni unazidi kuchukua sura mpya baada ya Gambo kumwambia kwamba usemaji wake una mipaka na kumwonya awe makini.

Wawili Hawa wana Hali ya kutoelewana huku chanzo kikidaiwa ni kugombea mradi wa ujenzi wa kituo kikuu Cha mabasi ya mikoani jijini Arusha.

Wakati mkuu wa mkoa na timu yake wakipendekeza ujenzi huo ufanyike mahali pengine mkurugenzi naye ameibuka akitaka mradi huo ufanyike sehemu nyingine.

Lakini pia inadaiwa mkurugenzi amekuwa akipingana na maagizo ya Rc Gambo kwa madai kwamba yeye anaripoti moja kwa moja kwa mkuu wa nchi hususani kufuatia nafasi yake akitajwa kwamba ni ofisa mwandamizi wa idara ya usalama wa taifa (TISS).

Katika madai hayo Rc Gambo anahisi Mkurugenzi amekuwa akipenyeza taarifa mbalimbali kwa mkuu wa nchi ili kumharibia kitumbua chake.

Lakini ugomvi huu unazidi kuchukua sura mpya baada ya DC wa Arusha, Gabriel Daqaro kumtabiria Mkurugenzi wa jiji kwamba huenda siku moja akawa mkuu wa mkoa wa Arusha na alitabiri hivi Karibuni alipokuwa akihutubia mkutano wa walimu wa shule za msingi na sekondari wilaya Arusha.

Itakumbukwa ya kwamba Daqaro ni afisa usalama wa taifa na aliwahi kuwa mlinzi wa Rais Magufuli kabla ya kupewa cheo cha ukuu wa wilaya.

Sinema ni ndefu macho na masikio ni yetu tutaendelea kuwajuza.

Doo kibri ilikuwa mingi kwa huyu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom