Waliosoma Jitegemee Secondary School hebu ingieni hapa Tusalimiane

syrora

Member
Sep 15, 2016
88
150
We utakua ulikutana na afande tall,maana yeye na kihimbi ndio walikua wavuta sigara,nadhni nilikutangulia mwka
Mimi ni in-take ya O level 1996-1999 sasa kuna siku tulikuwa tunapiga sana kelele darasani, maafande 4 wakatuvamia darasani. Sasa mimi dawati langu lilikuwa la mwisho kabisa, na mlango wa darasa ulikuwa mmoja nyuma ya darasa yaani, kama milango ya magari ya zamani ya kubeba abiria, Kia. Hivyo, mara nyingi maafande wakituvamia mimi na masela wangu tunachomoka kiurahisi sana kwa kuwa dawati letu lilikuwa nyuma kabisa na karibu na mlango.

Sasa siku hiyo maafande wametuvamia wakaingia darasani 4 na mikwaju ya kutosha, sasa mimi kama kawaida yangu, nikawasubiri hile wamefika kati ya darasa mimi nikawaambia masela wangu jamani tusepe, masela wakaogopa. Basi mimi nikanyata mdogo mdogo nikachomoka class basi hile nageuka tu nakutana uso kwa uso na afande mmoja nje kumbe alikuwa anavuta sigara. Ilikuwa kama movie vile. Jamaa akanidaka akaniongiza ndani, wacha nipewe kichapo. JITE imenifunza mengi sana, I am who I am because of JITE UTE...
 
LALIKA NICOLAUS

JF-Expert Member
Jan 31, 2016
482
1,000
Zamani raha sana Mkuu!
Dah mmenikumbusha kitambo nyie raia. Kuna afande mmoja alikua anaitwa Bruno jamaa alinitupiaga stick ya kichwa kisa Mwalimu Mleli kamuambia anishughulikie, nikaona hapa jamaa ataniua nikatoka nduki mbaya smart Area pale nilikipia speed ya hatari kama Hussein Bolt. Ticha Mleli akaanza kupiga kelele kama za mwizi vile maafande wote wakaniungia na stick kama mia nane ivi mikononi.

Nilitoka nduki kufika mbele wakamshtua Kamanda wao wa Mbio anaaitwa Afande Kiimbi (RIP), ebana jamaa anatoka nduki yule sijawahi ona...dakika sifuri niko mikononi mwa maafande...Kilichotokea............Tega sikio Part II. Tehe tehe

Jitegemee Sec.(JIte-Wute )Member 1996-1999
 
LALIKA NICOLAUS

JF-Expert Member
Jan 31, 2016
482
1,000
Nakumbuka bwenge alikuwa na sira mbaaya sasa sijui binti yake kama alifata hasara ya sura ile kwa bahat mbaya sikuwah kumwona huyo binti namkumbuku pia mwl Ntibuela alikuwa poa sana, nakumbuka wakati nasoma ilikuwa mwiko mwanafunzi kwenda shule na zaidi ya shilingi elfu tano na tena kuna wakati walimu walikuwa wanatukagua.
Siku moja kuna mwanafunzi tulikuwa tunamwita mdudu nyoka alikamatwa akiwa na shilingi elfu sita akatakiwa amwite mzazi.
Jamaa kufika nyumbani akamwambia mzee wake kuwa ada aliyompa amenyang'anywa na mwalimu mmoja anaaitwa Bwenge, kumbuka wakati huo tulikuwa tunalipa ada shilingi laki moja na elfu ishirini.
Siku ya pili mzazi wa mdudu nyoka yaani mzed nyoka mwenyewe akaja shule akitaka kumwona huyo mwalimu aliyepora ada ya mwanae. Kufika ofisini akakutana na Bwenge basi mzee akaanza kumweleza bwenge kuwa ile hela ilikuwa ni ada hivyo mwanae hana kosa hivyo ampe hiyo hela akalipe hapo ndipo kazi ilianza bwenge katoa elfu sita mzazi akakataa akasema na laki na ishirini wakashindwa kuelewana akaitwa mkuu wa shule afande Massawe.
Kesi ikawa kubwa ikabidi aitwe mdudu nyoka kuulizwa jana bwenge alichukua sbilingi ngapi akasema na laki na ishirini hiyo kauli ilimchanganya mno bwenge na kwa kuwa Massawe hakutaka liende mbali ikaamriwa bwenge arudishe laki na ishirini siku hiyo nilimwona bwenge akitoa machozi unajua wakati huo hiyo hela ilikuwa nyingi sana.
Toka wakati huo ikawa hakuna kupekuana tena na nakumbuka mdudu nyoka alikuwa tajiri kwa mwezi mzima mpaka akamaliza ile ada.
hatari sana hii. Kuna watu ni balaa kwelikweli
 
Depal

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
16,370
2,000
Arando
Kumalija
Masemelenpopote walipo nawasalimu
Kumaliga bana 😂😂😂 alinidaka first day tu nafika shule kisa nimevaa sketi yangu niliyoshona mwenyewe ' sikuvaa zile tunazopewa pale pale
Nikapelekwa kwa matron....nilizichezea.
Masemele yupo....watoto wake nilimaliza nao
 
Depal

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
16,370
2,000
Orando kuna siku jamaa walizingua kufanya usafi halafu fom6 jamaa ticha mmoja cuthbet akaenda kushtaki,jamaa orando akatoa darasa zima mbele ya ofic za get kutoka nje,alipigisha mboko za hatari akisaidiana na tall.hii siku hatare
Cuthbert ticher wa Hist one 🏃
 
Depal

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
16,370
2,000
Jiteute 2014 balaa kuingia getini na kutoka kwa wale wavaa modo nulikuwa naingia saa 10 alfajiri kabla afande alando wa afande K hawajafika. na ukiruka ukuta faini elf50 mwanangu salmini zedy kashalipishwa sana na mr. omary. mwanangu Samtonga tumeiba sana mabegi ya wanafunz wa form2 na calculator za form6 na kwenda kuziuza keko ila mwalimu wetu wa darasa katubeba sanaaaa madam kilewo pongezi kwake bhn ila mr. ng'wandu balaaaaaaa nilivyokuwa form3 alinyoosha si kitoto BIFU LA 2014 JITE NA AZANIA LILIKUWA GUMZOOO UWANJA WA MAPAMBANO KULE MCHIKICHINI
Haha skirt fupi me nilikuwa naingia getini saa 11 afu mkisi nilikuwa sivai basi tafrani kuwahi kabla matrons hawajafika ilikuwa kawaida sana
 
Akili Pesa

JF-Expert Member
Jun 18, 2014
606
1,000
Kitu ninachokumbuka mm kuna siku mshikaj aliotewa darasan mida ya jion hv na demu wake wote A-level, jamaa amemlalia demu huku bibie anamsuka jamaa kilichotokea hapo walichukuliwa mpk getini pale wakawekewa Benchi wakaambiwa walale vilevile wafanye walivyokuwa wanafanya huku wanafunz wakiwa wanatoka wanaenda home. Hii wanaokumbuka 2003 hv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fohadi

Senior Member
Jul 24, 2020
121
500
This school belongs to me......Jitegemee ndio imebadilisha maisha yangu. Naipenda sana na siku zote itakuwa moyoni mwangu..Nimekula sana joro na wanangu ambao poketi mane zetu zilikuwa chini ya 1000 kwa siku..Kuna mwamba mmoja kuna siku amechelewa shule, pale getini akakamatwa na Afande K...Jamaa akajitetea anaumwa ARCHIMEDES PRINCIPLES :D :D :D . Basi afande K alivyokuwa haelewi chochote akamwambia KIMBIA HUKO usije ukanifia hapa.....I miss those days, Sir mtoka mbali na madam shaluwa.. Popote walipo knowledge yao imenipa maisha..!
 
Kanungila Karim

Verified Member
Apr 29, 2016
17,222

Siku hizi limebakia jina tu.
 
Msanii

JF-Expert Member
Jul 4, 2007
8,274
2,000
Jiteute 2014 balaa kuingia getini na kutoka kwa wale wavaa modo nulikuwa naingia saa 10 alfajiri kabla afande alando wa afande K hawajafika. na ukiruka ukuta faini elf50 mwanangu salmini zedy kashalipishwa sana na mr. omary. mwanangu Samtonga tumeiba sana mabegi ya wanafunz wa form2 na calculator za form6 na kwenda kuziuza keko ila mwalimu wetu wa darasa katubeba sanaaaa madam kilewo pongezi kwake bhn ila mr. ng'wandu balaaaaaaa nilivyokuwa form3 alinyoosha si kitoto BIFU LA 2014 JITE NA AZANIA LILIKUWA GUMZOOO UWANJA WA MAPAMBANO KULE MCHIKICHINI
Hahaha halafu sasa hivi unapiga kazi kitengo cha pesa. Lazima hati chafu ziweke makazi hapo
 
Msanii

JF-Expert Member
Jul 4, 2007
8,274
2,000
Jitegemee (2001 pre form one) 2002-2005. Headmaster F.Masawe, Afande Ismail, Wajadi, Bruno master, Mama Shalua, mzee Bwenge Afande Mkisi hahahahhh. Daaah those days. Kule canten mama Koku
Naam hao wote walikuwa waalim wangu.

Hakutakuwa na Jiteute kama ya 1996. Full vipaji, full taalum, full uchizi

Waalimu walitukoma sana hasa Bashaka
 
Fohadi

Senior Member
Jul 24, 2020
121
500
Imeshuka kitaaluma mpaka aibu.

Je sisi tuliosoma pale tuna mchango gani kuipaisha iwe JITEUTE tena?
Hili ndio swala kuu la kujiuliza aisee...Natamani ata siku moja nikipata nafasi nikapigishe pindi la ECONOMICS na GEOGRAPHY kwa advanced level japo sio mwalimu ila naamini nitakuwa nimechangia kitu kikubwa sana..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom