Recent content by COMMONMAN

  1. COMMONMAN

    JamiiForums Tanzania Ushauri wako fundi kwa ujenzi wa nyumba bila linta

    weka linta ya nondo mbili mm 12 ni muhimu kwa ajili ya kushika jengo.
  2. COMMONMAN

    JamiiForums Tanzania TANZIA Nimefiwa na baba yangu mzazi

    Pole sana mkuu. apumzike kwa amani mpendwa wenu.
  3. COMMONMAN

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene, IGP Sirro kiangalieni kituo cha polisi Buza

    Kama kituo kimefungwa umeme, maji, askali wapya wa nn. kituo kifunguliwe kwanza
  4. COMMONMAN

    JamiiForums Tanzania Raia mwenye asili ya Congo apigwa na Polisi hadi kufa nchini India

    Mauji tena, tena kwa chombo cha dola? Taasisi ya kupeleka malalamiko ndio wana tu ua?, Hadharani kama umbwa. Alafu tunaangalia tu, tunayazungumza yanaisha. Dah! shame on us.
  5. COMMONMAN

    JamiiForums Tanzania Kwanini RC wa Manyara, Makongoro Nyerere alimpigia saluti ya kijeshi Rais wakati wa kiapo?

    😂 😂 😂 😂 😂 😂
  6. COMMONMAN

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya kufanya

    don't give up tafuta mafundi ujenzi komaa nao nazani per day wanatoa 7000-10000 kwa ARUSHA
  7. COMMONMAN

    JamiiForums Tanzania Je, nina gundu au nimerogwa? Kila kazi nayoomba siitwi

    😂 😂
  8. COMMONMAN

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kutumia mchango wa harusi kujenga nyumba

    wazo zuli Sana Mkuu, japo tegemea upinzani Kwa wana kamati lkn pambana. Ni ulemavu wa akili kufanya harusi ya M5. wakati wanandoa wanaenda kupanga tena Kwa Maisha ya kuunga unga
  9. COMMONMAN

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tanzania kuna mazingira mbalimbali ya kibiashara ambayo mtu anatakiwa kuyafahamu

    somo zuri sema nyambua Kinaga ubaga tupate kuelewa barabara
  10. COMMONMAN

    JamiiForums Tanzania Tsh Milioni 5 inaweza kujenga nyumba?

    yes inawezekana
Back
Top Bottom