Mbinu halali ya kupunguza makato kwenye miamala ya simu

chivala

JF-Expert Member
Apr 13, 2021
772
2,333
Wakuu siendi mbali sana ila nimegundua njia halali ya kupunguza pesa tunazotozwa sisi wanyonge kwenye miamala ya simu.
Mbinu inayotakiwa kuifanya ukitaka kutuma pesa au kutoa pesa kwa wakala fanya hivi:
1-kutuma, tuma shilingi 990, 9990, 19990, na kuendelea.
2- kutoa pesa kwa wakala: toa shilingi 1900, 9900, 99900, 199900 na kuendelea, ukifanya hivo utaokoa pesa nyingi ambao kwa kodi yao na tozo pia!
 
Fafanua basi wewe mkwepa kodi mbobezi

USSR
 
Wakuu siendi mbali sana ila nimegundua njia halali ya kupunguza pesa tunazotozwa sisi wanyonge kwenye miamala ya simu.
Mbinu inayotakiwa kuifanya ukitaka kutuma pesa au kutoa pesa kwa wakala fanya hivi:
1-kutuma, tuma shilingi 990, 9990, 19990, na kuendelea.
2- kutoa pesa kwa wakala: toa shilingi 1900, 9900, 99900, 199900 na kuendelea, ukifanya hivo utaokoa pesa nyingi ambao kwa kodi yao na tozo pia!
Hii nilikuwa naitumia muda Sana.
 
Au kama unamtumia mtu, unamwambia atume code ya wakala chapu unatoa, kutuma unakatwa, kutoa anakatwa so lazma utume na yakutolea hivo ukitoa wewe unasave pesa
Hii njia wakala anakataa...labda huyo anaetumiwa code awe mkoa huo huo yaani awe eneo la karibu
Inasemekana kwamba mtu aliyepo mbali akitoa hela kwa njia hiyo anaweza akaiba kwa urahis na wakala akienda kushtaki makao makuu hasaidiwi kwasababu mtu inabidi atoe hela akiwa kibandani na sio hukoo atumiwe code ya wakala
 
Back
Top Bottom