sekion27
Member
- Jul 25, 2021
- 56
- 37
Naomba kazi ya kufanya yoyote ile nipo Arusha mwanzo nilikuwa nauza nguo za kike ila nimeanguka kimtaji japo nina bachelor ya accounting na finance na nina uzoefu wa kutumia computers vizuri nikibobea kwenye tally na cash statement,
Ninachoomba ni kupatiwa kazi ya kunihifadhi hapa mjini kwani sio mzaliwa wa Arusha na pango la mwenye nyumba linanihusu kwa yeyote aliyetayali kunipa kazi ya kufanya nitafanya bila kujali kipato,
Kwani nimezunguka sana kutafuta kazi ya fani yangu, lakini nimeona mda unaenda na mambo muhimu kama malazi, mavazi na chakula bado vinanisubiri na kazi bado sijapata.
Co nipo hapa kuomba kupatiwa kazi ya kufanya hata kama ina kipato kidogo nitaifanya kuliko nikaishi bila kazi.
Asanteni kwa usikivu naamini nimeeleweka.