Recent content by cilla

  1. C

    SoC04 Kwanini hatunufaiki sana na ubunifu wa Watanzania

    KWANINI HATUNUFAIKI SANA NA UBUNIFU WA WATANZANIA Ubunifu Ni uwezo alionao mtu au kikundi cha watu,kuvumbua/kugundua kuanzisha kitu Fulani kipya au cha tofauti chenye kuleta tija kwa jamii. Profesa Bessant ubunifu ni kile unachofikiria nakukifanya unavyotaka, ni kipawa alichonacho mtu.Ubunifu...
  2. C

    SoC04 Tuwaandae watanzania kutoitegemea TANESCO

    kabisa aise naona kama tumechelewa
  3. C

    SoC04 Tuwaandae watanzania kutoitegemea TANESCO

    TUWAANDAE WATANZANIA KUTOITEGEMEA TANESCO UTANGULIZI Nchi yetu imepitia katika matatizo ya mara kwa mara ya ukatikaji wa umeme na mgao wa umeme kwa nchi nzima takribani miaka 30 sasa.Kwa miaka hiyo 30 Serikali zote zimekuwa na ahadi zenye matumaini ya kutatua kabisa changamoto ya...
  4. C

    SoC03 Teknolojia tatu muhimu zinazoweza kutusaidia katika kutatua changamoto na kutuletea maendeleo

    TEKNOLOJIA TATU MUHIMU ZINAZOWEZA KUTUSAIDIA KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO NA KUTULETEA MAENDELEO. TEKNOLOJIA NI NINI? Neno Teknolojia au kwa kiingereza technology ni neno ambalo limetokana na lugha ya kigiriki “technología“ lenye maana ya maarifa ya ujuzi, sanaa na ufundi yaliyowekwa katika...
  5. C

    SoC03 Njia mbadala zinazoweza kusaidia tatizo la upungufu wa walimu mashuleni

    NJIA MBADALA ZINAZOWEZA KUSAIDIA TATIZO LA UPUNGUFU WA WALIMU MASHULENI. UTANGULIZI: Nchi yetu bado inachangamoto kubwa ya uhaba wa walimu wa shule ya sekondari na msingi.Kwa mujibu wa taarifa ya mwezi wa pili ya wizara ya nchi ,Ofisi ya rais tawala za mikoa na serikali za mitaa...
  6. C

    SoC03 Serikali iteketeze kichaka hiki cha rushwa barabarani

    SERIKALI ITEKETEZE KICHAKA HIKI CHA RUSHWA BARABARANI UTANGULIZI. Maana ya rushwa; Rushwa maana yake ni matumizi mabaya ya mamlaka au nafasi fulani iliyo rasmi kwa lengo lakujipatia faida binafsi kinyume na sheria na kanuni ya maadili ya nchi.Pia tunaweza kusema rushwa ni fedha au...
  7. C

    SoC03 Cheo cha Katibu Tarafa kifutwe

    Na hisi hapa pamekuchanganya kidogo: Uwajibikaji wa Maafisa Tarafa katika Wilaya na Halmashauri za Serikali za Mitaa wa tarehe 18 Desemba, 2003 pamoja na Sheria iliyofanyia marekebisho Sheria za Serikali za Mitaa namba 13 ya mwaka 2006 Majukumu ya Afisa Tarafa : hapa hatuzungumzii structure...
  8. C

    SoC03 Cheo cha Katibu Tarafa kifutwe

    Hilo linafahamika mkuu Hoja sio muundo.kikubwa hapa tunaangalia tija yakuwa na mtu kama huyo ni nini? Structure zote zimeundwa kwa ajili yakuleta ufanisi na tija na wala sio muundo tu ili mradi na sisi tuseme tuna muundo kama mataifa mengine.Pamoja na hilo muundo pia unaweza kubadilishwa...
  9. C

    SoC03 Ubovu wa Mawasilano katika Taasisi zetu za Umma

    UBOVU WA MAWASILIANO KATIKA TAASISI ZETU ZA UMMA Katika karne hii ya sayansi na teknolojia inasikitisha sana kuona taasisi zetu zikiwa hazifanyi sana vizuri katika utoaji huduma kwa haraka na ubora unaotakiwa hasa katika mawasiliano. Ipo dhana kwa wananchi kwamba mambo yako...
  10. C

    SoC03 Cheo cha Katibu Tarafa kifutwe

    Cheo cha Katibu Tarafa kifutwe Kama tunavyofahamu kwa mujibu wa Mwongozo wa Uwajibikaji wa Maafisa Tarafa katika Wilaya na Halmashauri za Serikali za Mitaa wa tarehe 18 Desemba, 2003 pamoja na Sheria iliyofanyia marekebisho Sheria za Serikali za Mitaa namba 13 ya mwaka 2006 Majukumu ya...
  11. C

    SoC02 Elimu taka isiyopewa umuhimu

    ELIMU TAKA ISIYOPEWA UMUHIMU (picha kutoka google photo) UTANGULIZI Taka taka kwa mujibu wa wikipedia huru ni Taka au taka taka (kwa Kiingereza: waste, trash, garbage, rubbish, junk) ni mabaki ya vitu, ni yale yanayobaki baada ya kuzalisha vitu, pamoja na yale yaliyotumiwa tayari na ambayo...
  12. C

    SoC02 Tutoe elimu ya kupinga mbwa kabla hawajawa wengi

    MAANA YA MBWA KIBIBLIA. Katika maandiko matakatifu neno Mbwa limetumika likiwa na maana mbalimbali, kama Mbwa mmnyama(marko 7;28) na Mbwa binadamu (ufunuo 22:15) na kadhalika. Neno la mungu linatuambia tujihadhari na mbwa! Wafilipi 3:2 . Je Mbwa ni watu gani kwa mujibu wa maandiko...
  13. C

    Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

    kama ulivyojitoa na kugharamika kwa mganga Yesu anataka ujitoe zaidi hapo kwa kumkabidhi maisha yako yote na mali zako.Kwa Yesu mnataka kirahisi rahisi bila kujikana.Yesu anakuuliza hutarudia tena huo ujinga?au unataka uponyaji alafu urudi kwenye upagani wako?
  14. C

    Ni short course gani ambayo ni nzuri na ipo katika soko kwa sasa?

    embu jaribu DIT kama wana short course.lakini kama una nia kwann usijitose tu long course.
  15. C

    Ni short course gani ambayo ni nzuri na ipo katika soko kwa sasa?

    nani amekudanganya ndugu yangu.multmedia ni pana sana,ni zaidi ya camera na graphics
Back
Top Bottom