Recent content by Chuma

  1. C

    Diplomatic row looms over suspects: UAE & SAUDI's could lodge a diplomatic protest with TZ w Arrest

    Ukisikia UDINI ndio Huu. Ina Maana kuna wageni wangapi wa nchi za Ulaya wameingia Nchini ndani ya siku za tukio...lkn hawakukamatwa kujiridhisha!!! Tuendelee kulijenga Taifa kwa haya yanayotengenezwa na magazeti na Watawala na wale wanaona Kila mwarabu ni Adui...na Kila Mzungu ni Rafiki..."
  2. C

    Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

    Mcheshu mwenyewe kapata hio Kazi Kimizenge.....!!! Msitegemee Maajabu!!! Zilikuja Post kibao hapa za Kusupport nomination yake km vile ilivyosasa baadhi tunavyotetea Uozo!!! Watu wanatoa Mifano MFU ili tu kutetea Tumbo au Ushikaji....!!! Eti Uwajibikaji Ulizikwa na Nyerere? Wakati Juzi Juzi...
  3. C

    Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

    Huna cha Utanzania kwanza...Ungekuwa una Utanzania kwanza Hii Mada leo "isingalikuwepo" Umesukumwa na Udini kuona kwanini "Ponda Hajakamatwa" .
  4. C

    Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

    Kaka Mangikule...Bakwata si imeanzishwa na "Julius", labda utuwekee hizo data halisi za namna Budget yao inavyokuwa na si Vibaya tukujua chini ya Wizara "gani" Mahakama ya Kadhi najua haijaanzishwa.....si Bakwata wala akina Ponda....Labda utujuze hio budget ya Mahakama ya Kadhi ikoje au...
  5. C

    Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

    Jmushi nyinyi Hamtaki Ushirikiano...!!!Sisi kweli tunahitaji kujenga Nchi....!!!Na twajua nchi Inaharibika lkn mambo mengi mnayafanya kwa sense ya "Udini" Sisi na wengine hatuna haja ya Kumsafisha JK, ila mnapoleta sense ya Udini hapo ndipo mnapokosea. Nyinyi ambao Historia ya Tanganyika...
  6. C

    Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

    Jmushi1...unafahamika kwa Udini wako. Wewe ulitaka JK atoe amri ya Kukamatwa Ponda...kwakuwa hakutoa hio Kauli umesema "Mdini" Wala hukutaka Kumwambia JK au Serikali ichukue hatua kwa wale waliotoa Takwimu "Feki" Hizi Takwimu Feki even Wizara ya Pinda imetoa Kalenda ikiweka Hizo "Takwimu Feki"...
  7. C

    Maharamia wa Kisomali na majumba mapya Mbezi

    Hizi Chuki zisizo na Mbele wala Kichwa hazitufikishi popote pale.... Wangekuwa wasomali Ombaomba barabarani sijui tungesemaje...? Watu wanachakarika sisi Tunaumiya mioyo...Hii ni Mioyo ya Hasadi kuona wewe huna, basi na mwezio nae awe hana. Hivi hizi pesa zinaitwa za Utekaji meli...zinafika...
  8. C

    USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

    Hii Hoja muiangalie kwa umakini...uwepo wa Viti Maalum pamoja na udhaifu wake, ndio umeipa Chadema Haki ya Kuitwa Chama wenye wabunge wa Upinzani wengi kule Bungeni...Wakiondolewa hawa...Chadema watakosa Haki hio. May be kwa katiba Mpya na Uchaguzi wa 2015.....
  9. C

    Kumbe udini ndio ulitumika kumdhuru Lowassa kisiasa?

    Article haina chochote cha Ukweli zaid ya kupalilia Hoja za Udini ...Let us assume tunavunja Muungano...Zanzibar wabaki kwao. Setup ya Serikali ya Tanganyika au Chama cha Siasa Tanganyika itakuwaje?......Ina maana waislam wa Tanganyika hawana nafasi?au hawatakiwi? Labda mwandishi kasahau moja...
  10. C

    Kumbe udini ndio ulitumika kumdhuru Lowassa kisiasa?

    Acha Uwongo wako....Kama waliuza Mtanzania kwa pesa unakataa nini?
  11. C

    Kwanini uteuzi wa chief tanroad umechelewa?

    ..Kweli kazi tunayo....!!!! mshazoea vya kunyonga....!!!!
  12. C

    Waislam msiende liliondo- redio kheir

    ELCT wana hospitali nyingi tu kwanini wakubali Babu afanye Tiba "walioibariki" sehemu ambayo kuna mapungufu mengi tu ya Kiafya? ..!!! Hapa mnaibisha bisheni lkn kuna "ushirikina" ndani yake...!!!! Huyu Babu hana tofauti na Washirikina wengine. Ila hawa Jamaa wanaoshangilia baadae wakianza...
  13. C

    Madai ya mgomo Chuo kikuu Dar hayana upeo mkubwa

    Tumesoma Chuo tukipata 2500, Tuliishi nje ya Chuo. main Campus ngumu. Wengine walikuwa wanatoa Rushwa kupata main campus hosteli. .... Kwa sisi watoto wa Kimaskini ukishazoea Hosteli ukimaliza Tu shule utaanza pata tabu. ni vema ukaanza kuzoea kuishi na wananchi mapema. kwa pesa hio hio tuliweza...
  14. C

    Je, Watanzania mlio nje ni vibarua na wabeba maboksi?

    Njia Nyepesi ya kukusanya Takwimu ni kuwa na Njia nyepesi na rahis za Utumai wa pesa home Tanzania. Tumekuwa tunawasiliana na ndugu walionje na inaonekana njia zilizosajiliwa TZ ni ghali sana Kutuma, hadi kutumia njia za Envelope kama alivyosema mchangiaji mmoja. Ukiangalia wenzetu kenya na...
  15. C

    Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

    Waislam hawana WIVU ya maendeleo walionayo wakristo. Wakristo ndio wenye WIVU wasiopenda waislam nao kuiubuka... kama wakristo wana nguvu...Basi waambieni Wafute Misamaha ya KODI....Taasis walizonazo wameshindwa kuziendesha...na lazima wapate support ya Serikali. Tunachotaka waislam HAKI sawa...
Back
Top Bottom