Kumbe udini ndio ulitumika kumdhuru Lowassa kisiasa?

Kwakweli tupo kwenye hatari ya kuingia kwy machafuko, Kikwete kwy uongozi wake kila kitu kinakwenda mrama,
1. CCM itafia kwenye mikonoyake
2. Tanzania itangia kwenye wimbi kubwa la kumwaga Damu chini ya uongozi/ mikononi mwa kikwete
3. Tanzania Imeongeza umaskini chini ya kikwete

Nilipi jema uyu Kiongozi wa nchi ametufanyia?(KIkwete)!!!!
 
Samahani,

Mwenzenu siku hizi Nina allergy na magazeti yetu. Eti huu upupu umepulizwa RAIA MWEMA?

Omarilyas
Haa haa haa!

Leo umefufuka baada ya kuona kitumbua chako kinaanza kuingia majivu ehe? Basi kwa taarifa yako bado TISS kuna wazalendo walioamua "safari hii ujinga ujinga usijirudie tena"..... Stay awake na mpe salamu nyingi kikwete ......
 
akili yako inakwambia anayejiunga humu ndani na kuamua kukosoa papo hapo basi ametumwa eeh?? Kweli zero brain wamejaa humu na wewe kiongozi wao

haujanikosoa mimi umeanza kwa kunitukana, sikujui haunijui kama nina zero brain rais kikwete alisha sikiliza maoni yangu; kama unamjua muulize atakuambia.

wewe hauwezi chochote here we in jamii forum jf we treat all our people with fairness and dignity, regardless of their race, religion, gender or sexual orientation...

we exchange views not derogatory words just to please the few narrow minded like u who are steadfastly refuse to face the truth...
 
Nyundo,
Soma tena kwa makini. Ndiyo, mwandishi kasema CCM wananchi hawaitaki tena. Lakini hapo hapo anasema Kikwete anaamini CCM itashinda kwa kutumia vyombo vya dola. Yaani hata kama ni kuiba kura CCM lazima ishinde. Sijaona contradiction hapo. Na huu ni ushahidi mwingine kuwa CCM haikushinda 2010.
Hapo kwenye red ushahidi ni upi? Na pia soma kwa makini pale mwandishi anapodai watafiti anamaanisha kina nani mbona hawataji?. Tujaribu kuwa waangalifu na waandishi waoga hata jina anashindwa kujitaja. Je kuanzia ngazi za juu hadi chini tuweke uwiano sawa wa dini ili iweje, je na madhehebu nayo, kabila, rangi, umbo n.k. hivi tutafika kweli? tusilete porojo za mitaani ktk jambo zito namna hii. Nawasilisha.
 
Mwandishi asiemzalendo anatumiwa na mapacha watatu, article yote ni uongo ulioshikiliwa na misumari ya ukweli kidogo wa hapa na pale. Kwa kifupi ni mafisadi wanatupiana kinyesi cha udini na kuchafua hali ya hewa ya kisiasa ya taifa letu. Tupige vita umasikini haya mengine yote (including ujinga na maradhi) yataondoka umasikini utakapo ondoka Tanzania.
 
Watanabe, kilicho mdhuru Lowasa ni ufisadi na ndiyo utakaomdhuri kikwete, utawala wake, na CCM yenyewe!
 
Give me a break

Mwandishi anataka kumharibia tu DR Asha Rose Migiro. Kwahiyo Mkapa aliyemuona mara ya kwanza alimteua kwa dini yake? Ban Ki Moon naye alimteua kwa dini yake?


Ndugu, story ya Dr Asha Rose Migiro is 120% true. The only thing kinachoweza kuvuruga hii deal ni mambo yazidi kuwaka moto ndani ya ccm to the point kwamba mwenyekiti anakuwa na nguvu za Mbeki (yaani nguvu kidogo).

Kuhusu Dr Asha na post yake ya UN. That was an OPEN SECRET'. Wakati wa campaign za kumrthi Koffi Annan kama UN Secretary General, Tanzani walikuwa ndio chair wa UN Security council chini ya usimamizi wa Balozi Mahige. Tanzania kwa kutumia nafasi waliyokuwa nayo walianza kushawishi nchi nyingine za Africa. Na kutokana na 'Gentleman's" agreement ndani ya the African Union (AU) kwamba kwenye UN and other International bodies waongee kwa sauti moja basi Korea walijua kupitia mwenyekiti wa security council yaani Tanzania wangeweza kupenyeza ngome ya Africa (jiwe moja).Another Gentlemen agreement was reached between TZ na Korea kwamba Tanzani wafanya juu chini ili Ban Ki Moon apate cheo then in return they (TZ) would be rewarded! and that's exactly what happened.

Dr Asha Migiro akapata cheo UN, at the same time Kiranja Mkuu Balozi Mahige akapata biiig post - sasa hivi ndio anahusika na Usuluhishi Somalia, but he is based in Nairobi.

Hata hivyo mitikasi hii iliacha casualty on the way naye ni - Professa Anna Tibaijuka. Kama mtakumbuka kabla Prof.Tibaijuka hajanyang'anywa cheo cha head wa Environment, Ban Ki-Moon alikuja Tanzania, akaongea na Dalali wake Kikwete then akaenda Nairobi cheo kimoja cha Prof. kikaota majani badala yake akawekwa Mjerumani. Baada ya bado nadhani Prof Tibaijuka alianza kuona wingu zito mbele kwa hiyo akaamua kustaafu lakini ukweli ni kwamba she was being pushed na mwishoni angepoteza hata kile cheo kimoja alichokuwa amebakiwa nacho yaani -Head of UN Habitat. Ban Ki Moon na Rose wake walishafikia conclusion kwamba baada ya uteuzi wa Balozi Mahige isingewezekana kuwa na Mtanzania mwingine kwenye senior post within the UN (too many Tanzania you can say)

Kurudi nyumbani mama wa watu kagombea na kapata post in the cabinet (ng'ata na kupuliza ya mkuu wa kaya). Lakini huyu mama (Prof Tibaijuka) alipogombea NEC akatupwa chini maana naye si 'mtiifu'

Kwa ujumla mazingaombwe ni mengi mno na upo uwezekano come Jan 1st 2016 Tanzania ikawa vipande vipande meaning; wakristo, waislam, wapare, wakurya, wasukuma, wamakonde, etc. Ulevi wa madaraka tu.
 
Really I don't give a .... what ccm think and does but imenibidi niangushe mistari miwili au mitatu kwenye jamvi. Kuna wakati tunataka kuwapa watu nguvu na uwezo kama kwamba jk anauwezo sana kuamua nani awe raisi na nani asilechakuala Tanzania. Ukweli ni kwamba jk hana uwezo wowote ule ku-manipulate Tanzanians like he wants too, nikiongezea hawa wadini na wakabila yameshawashinda mipango yao ya kutaka kuamua future ya Tanzania. jk tunajua na ccm wanatafuta kila njia za kutawala kwa mabavu na kama tunavyoona jamii ya watanzania imeshawaacha tangu zamani wamebaki na suti na magwanda ya kijani machafu yaki ninia magamba kichwani mpaka miguuni, its over. What I am trying to say is this, jk na kundi la wasanii wenzake hawana ubavu wa kuamua future yetu.

My take ya Lowassa ni kwamba huyu bwana ni fisadi na it will take 50 yrs kwa yeye kujisafisha maovu aliyowafanyia watanzania. I have no sympathy for any criminals wakati alipokuwa anaiba na kufanya ufisadi hakutaka kuwa na mercy na watanzania, leo hii wanafukuzana katika kundi lao la wahuni ccm anataka watanzania wamwone yeye ni tofauti, please Lowassa go back to the roots. Story nyingi tunaziona humu jf kwamba Lowassa didn't do this or didn't do that, all these are campaigns and I think all trashes wanazozipata jk na Lowassa na Rostam ni sawa kabisa. Kwa wale waliokaribu na Lowassa wamuulize haya, ilikuaje yeye Lowassa aliachaje kujenga circle of trust wakati akiwa waziri mkuu au walikuwa busy anajilimbikia ufisadi? Let me give some ushahuri kwa wale wanaotegemea kufuata hii njia ya uongozi, I got few words for you.

"Don't and ever follow kikwete au Lowassa njia zao za kisiasa. Think people first and who elect you. Never cheat your way to offices. Respect others"
 
Duh!

Sasa naamini Siasa mchezo mchafu! Haya sasa karata ya dini inatumika kumrejesha kundini kondoo mweusi! Kazi kwelikweli , jee wenye dini yenu mtaendelea kumtosa jamaa hata baada ya kusingizia udini kuwa ndio uliomfanya awekwe msalabani ( sijui dini ndiyo iliyomtuma kutafuta fedha za haramu?)
 
Kama hali imefikia hapa ilipo kuna haja ya Wakristu kukaa chini na wenzao Waislam na kukubaliana kuigawanya hii nchi vipande viwili peaceful ili kuondoa uwezekano wa kupigana huko mbeleni.
 
Duh! Sasa naamini Siasa mchezo mchafu! Haya sasa karata ya dini inatumika kumrejesha kundini kondoo mweusi! Kazi kwelikweli , jee wenye dini yenu mtaendelea kumtosa jamaa hata baada ya kusingizia udini kuwa ndio uliomfanya awekwe msalabani ( sijui dini ndiyo iliyomtuma kutafuta fedha za haramu?)
Ngekewa,
Hakuna kitakachomnusuru Lowassa. Dini au no dini. He is dirty as Kikwete is and I believe Tanzania deserves better.
 
Nawajua wamiliki wa Raiamwema. Nawajua baadhi ya waandishi wa Raiamwema. Hawa ni wazalendo. Hawawezi kutumiwa na hela za Lowassa.
Acha Uwongo wako....Kama waliuza Mtanzania kwa pesa unakataa nini?
 
Article haina chochote cha Ukweli zaid ya kupalilia Hoja za Udini ...Let us assume tunavunja Muungano...Zanzibar wabaki kwao. Setup ya Serikali ya Tanganyika au Chama cha Siasa Tanganyika itakuwaje?......Ina maana waislam wa Tanganyika hawana nafasi?au hawatakiwi?

Labda mwandishi kasahau moja aishauri CCM wabadili Katiba,then Wazanzibar watolewe na setup iwe ya Uwiano wa Wakristo na Waislam.
 
Njaa zitawapeleka pabaya hawa waandishi wetu, huyu jamaa ni wazi kabisa kisha pewa kitu kidogo.
 
Mbona hujatuwekea takwimu za mawaziri, manaibu waziri, makatibu wakuu, wakurugenzi, mabalozi, makamishna nk alioteuwa kikwete tuone idadi ya waisilamu na wakristu,

Umetumwa na Lowassa?

Kamwambie aliyekutuma kuwa watanzania tumechoka na CCM kwa ujumla wake,iwe inaongozwa na muislamu au awe mkristo,
 
Sina prejudice na magazeti lakini pia sina confidence nayo.
Ndio navyoweza kusema kuhusu hii taarifa.
Kwa hiyo nitakuwa mfuatiliaji mwenye subira na umakini.
 
Pamoja na udini kutumika, hata yeye binafsi record yake haikuwa safi! Kuna mengi ya hovyo kahusika! Ufisadi na udini wap na wap!
 
Back
Top Bottom