Kwanini uteuzi wa chief tanroad umechelewa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini uteuzi wa chief tanroad umechelewa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by king11, Apr 20, 2011.

 1. k

  king11 JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Taifa likiwa na wakati mgumu wa kujua ni nani ambaye atateuliwa kuwa mkuu wa Tanroad....kwani utendaji wa sasa umelisababishia taifa hasara kubwa sana katika mikataba yake na wakandarasi....chief aliyetangulia MR. Mrema akisaidiwa na ENG.MFUGALE waliiweka TANROAD wakati mgumu wa madeni kwenye mikataba mibovu na wakandarasi.....
  nini kinakwamisha uteuzi wa chiefu na kuacha taasisi ikiendeshwa kimagumashi?
   
 2. k

  king11 JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kuna wajumbe wenye updates ziwekwe ubaoni wakuu
   
 3. d

  dady2007 Member

  #3
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh! jamani, usichokijua usiandike hapa, wakati wa utawala wa mrema, eng. mfugale hakuwa tanroads, alikuwa wizarani.
  tafadhali jamani tuweke taarifa tunazizijua na tulizonazo uhakika, kuropoka ovyo ovyo kuna hatarisha imani ya wnanchi kwa jamii forums,
  wanaojua ukweli watatucheka na kupoteza imani nasi, tuache kuropoka tusiyo yajua!
   
 4. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Anatafutwa muislam mwenye qualifications ikibidi aitwe toka nje ya nchi kama ilivyofanyika kwa Mbarawa ambae ameitwa na kupewa uwaziri wa Toknohama!! Ukweli ndio huo mtakujakumbuka mchango wangu juu ya hili jambo.
   
 5. M

  MTENDAHAKI JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,993
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Toka lini shughuli za kihandisi zikaongozwa na surveyor!Uswahiba utatumaliza nchi hii!Mr. Mrema hakustahili hata kuufikiria achia mbali kuusogelea ukurugenzi wa Tanroads
   
 6. k

  king11 JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  si ndiye aliyekuwa mkurugenzi wa miradi katika wizara sasa unawezaje kumtofautisha na matatizo yanayoendelea sasa au nini kipya anachokifanya kwenye ukaimu wake .....katika kipindi cha ukaimu wake ndio TANROAD indaiwa na wakandarasi zaidi ya shs Bil 400 sasa kwanini kwa kutoendelea kuepusha makosa yanayofanywa na kaimu huyu kusifanyike uteuzi kamili wa nafasi hii na kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo wakati magufuli anamuondosha mrema kulikuwa migogoro ndani ya mameneja ambao wengi walikuwa wanalalamika juu ya uwezekano wa ENG mfugale kukaimu na ndio huu muendelezo wa matatizo ambapo sasa kuna kampuni kubwa nyingi zimeweka vifaa chini na zinaidai serikali fidia ....................kwanini ukaimu uendelee na kuendelea kuleta hasara badala ya kupatikana chief halisi na si kukaimu
  kwani TANROAD imekuwa kitengo cha propaganda ambacho hiza tambwe alikaimu kwa zaidi ya miaka miwili?
   
 7. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Kwani haraka za nini ndugu yetu. Mbona uulizii ma RC na DC ambao mpaka leo bado kuchaguliwa. Au kuna something hapo tanroad
   
 8. k

  king11 JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ma DC na RC si watendaji ni viongozi wa kisiasa ...........unadhani rais anaweza kuchelewesha kuteua watu kama waziri mkuu .......wakuu wa mikoa ni watu wa sherehe tu
   
 9. h

  housta Senior Member

  #9
  Apr 21, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Well said!
   
 10. h

  housta Senior Member

  #10
  Apr 21, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Personal vendetta zitatuua!!!Having said that,I believe unachoongea hapa hujafikiria vizuri.Kwa hiyo unataka kuniambia Dr. Idris Rashid amesomea U-CEO wa Tanesco?Stop being stupid.As long as una qualities za uongozi,kwani ni dhambi kuapply?Au unataka kuniambia hao wote ma-CEOs wamesomea hizo kazi OR wamepitia shule inayohusu specifics za kazi hizo?Kuwa Engineer hakikufanyi kuwa a great CEO/leader/Manager!Unajua kuwa huyo Mrema alikuwa na BSc. in Civil Engineering?na MSc. in Project management??Unaongea tu bila kutafuta facts.Nyie ndio watu mnaotia hasira tukisoma posts huku JF.Sick!Fanya campaign niwe banned!
   
 11. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Imeelezwa kwamba Magufuli anavuruga mchakato wa kumpata Mtendaji Mkuu wa Tanroads kwa nia ya kumsadia mtu anayetajwa kuwa ni rafiki yake, Patrick Mfugale ambaye kwa sasa andiye anakaimu nafasi hiyo, pamoja na kuwa kipindi aliachotakiwa kukaimu kilishapita.

  “Tunajua anapoipotosha serikali kutaka Mfugale aiteuliwa pamoja na kuwa alimteua kukaimu kibabe huku akijua Rais alimvua madaraka kwa sababu ambazo serikali inazijua na ziliainishwa katika barua iliyomvua nafasi yake,” anasema Ofisa mwingine wa juu wa Ujenzi.

  *

  Tayari serikali kupitia Menejimenti ya Utumishi wa Umma imetangaza majina ya watu walioitwa kwenye usaili wa nafasi ya Mtendaji wa Tanroads akiwamo Mfugale.
   
 12. C

  Chuma JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2011
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ..Kweli kazi tunayo....!!!! mshazoea vya kunyonga....!!!!
   
 13. k

  king11 JF-Expert Member

  #13
  May 7, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa nchi zinazofuata misingi ya uwajibikaji basi kitendo cha jana waziri magufuli kukataa makabidhiano ya barabara lindi wakati wasimamizi wake wakuu wa tanroads akiwemo kaimu chief waliwakagua katika kila stage ni wa kusikitishwa na ni lazima tuangalie hivi mifumo ya utendaji wa watawala wetu huko vipi unakataa makabidhiano ya barabara lakini wale waliokagua na kuwaruhusu waendelee na ujenzi mpaka mwisho bado hakuna hatua yeyote inayochukuliwa
   
 14. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #14
  May 7, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu kama hujui kitu uliza uambiwe na siyo kupost kitu usichokijua. Hapa jamvini si mahala pa tetesi ni mahala ambapo kunatolewa habari za uhakika na si za kufikirika. Eng. Mfugale hakuwa mkuu wa miradi wizarani, yeye kabla alikuwa mkurugenzi wa barabara baadaye akateuliwa mwingine kushika nafasi hiyo na eng. Mfugale akawa yupo tu wizara kama afsa wa kawaida. Baada ya Mrema kutoka TANROADS ndipo mfugale akateuliwa kukaimu hiyo nafasi.

  Tusonge mbele. Kama alivyosema mmoja wetu hapa, watu wameitwa kwenye usaili na usaili ulifanyika tarehe 03.05.2011 kwa maana hiyo basi muda si mrefu mchakato utakamilika na nadhani hao TANROADS watampata Mkurugenzi wao mpya (Mkurugenzi kamili) kwani hata huyo aneyekaimu naye amesailiwa kwa hiyo yeyote kati ya sita waliosailiwa anaweza kuteuliwa. Tufuatilie tutapata jina muda si mrefu
   
 15. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #15
  May 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Labda nchi nzima ibinafsishwe, au ikodiwe serikali toka nje, mimi nashauri tumkodi Tony Blair au George Bush, hamna mtu hata mmoja msafi na mchapakazi hapa Tanzania wa kupewa Tanroads halafu isifikiri kujenga mahekalu yake kwanza, hebu bana kona pale sinza au visehemu fulani wanakokaa jioni kujichana, halafu sikiliza maongezi ya hao wenye kazi serikali, hamna lingine kama sio maslahi yao, na eti ndio ujanja...
   
 16. k

  king11 JF-Expert Member

  #16
  May 7, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hivi huyu mfugale si ndiye yule ambaye aliyesimamishwa na rais ila magufuli akamchagua yeye je kuna nini kati ya Eng mfugale na maguful au wote ni shareholder wa kampuni ya NYANZA ROADS
   
 17. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #17
  May 7, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nijuavyo mimi ENG.MFUGALE hakuwahi kuwa msaidizi wa Mrema. Inatilia shaka lengo la thread yako. Kwa ushauri tu sioni tatizo la Mfugale kukaimu hata kuteuliwa kwenye nafasi hiyo. Ana rekodi nzuri ya utendaji hasa kwenye madaraja ambayo amebobea.
   
 18. Zinedine

  Zinedine JF-Expert Member

  #18
  May 7, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,189
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Asante Ingini ya mrema-tumekupata lakini ukweli ni kuwa hustahili na uthibitisho wa hilo ni output ulioitoa ukiwa pale tanroads
   
 19. Zinedine

  Zinedine JF-Expert Member

  #19
  May 7, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,189
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mh, hao jamaa unataka waje kuandika historia mpya ya Tanganyika kuipiga Zanzibar nini? na kisingizio itakuwa nini, alshabaab, ghailani, cuf au Farid Hadi yule aliyechana muswada wa katiba!
   
 20. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #20
  May 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kwani kuna magaidi zanzibar?
   
Loading...