Kama ulikuwa Unajua ulitaka ushauri wa nini.
kama alikwambia Kwanini uliforce? mapenzi ni kajitoa.
mwanzo iliyaona matam Sasa hivi ndo unasema unajuta.
wakati unamcourt mbona ukuomba ushauri baada ya kukuambia yuko affected.
akili Zako ziko sawa kweli, ingawa sijasoma sana ila siwahi kusikia kuwa ugonjwa wa ini unaambukizwa kwa njia ya romance.
jiweke kwa nafasi yake, ingekuwa wew alafu mpenzi wako uliye mpenda anakufanyia hivyo unge jisikiaje.
ujajua kupenda Bali ulazimisha kupenda. nakuombea utakapo mtenda...
ingawa kwa Sasa wanaume wengi wamesahau wajibu wao kama mme ndani ya ndoa, unakuta mwanamke ndo kila kitu nyumbani.
Sasa sijajua kwa upande huu inakuwaje,
kama mama anaamka asubuhi kubangaiza alafu Baba anauchapa usingizi anasubilia kuitwa kula tu na Kisha kuzulula bila kutoa mchango wowote.
domestic job is for woman tambua Hilo.
ingawa mwanaume aweza kusaidia kama ishara ya Upendo na kujali.
mwanamke ni msaidizi kwa mumewe, kwahiyo wew kufanya kazi ni moja ya msaada kwa mumeo kuboost financially ili kukamilisha majukumu yake kama kiongozi wa family.
kujali, Upendo WA dhati, kusikilizwa na kuheshimiwa bila kujari mapungufu aliyo nayo.
kwa appearance ya nje. mwanaume anae jitambua (intelligent, reasonable, respectable and smart.)
Mbona njia ya kufunga kizazi kwa mwanaume Ipo, nenda kwa Hospital utaambiwa njia mbali mbali.
pia vizuri kwa kulitambua Hilo maumivu gani wanamke hupitia wakati WA delivery.
ila mtoto ana raha yake ndo maana wanavumilia misukosuko yote.
Mimi nadhani, endapo tukimrejea mungu na kuheshi mafunzo tunayo yapata katika vitabu vya mungu lazima ushoga utaisha
hofu ya mungu ni kinga pekee inayo weza kutusaidia na kutuhepusha na hayo yote.
pia wazazi na walezi tuwe Karibu sana na wanetu.
mpelekeni kwa Hospital mtapewa ushauri zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.