mkuuwakaya
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 974
- 1,364
Tunakuomba mkuu wa kaya utakapo hamia Idodomya uende na Bashite wako, utuachie Kolomije yetu. Huku mkaendeleze urafiki wenu vizuri maana macho ya watu si mengi kama jiji hili.
Na wewe mla viwavi urudi kwenu dodoma ukafute viatu vya bashite akihamia huko.Mheshimu viongozi wenu.
Nyie wavivu, wadaku, mna tamaa na mmejaa uvivu sanaaaaaa.
Hapa kazi tu
Ataachwa kwa ajili ya kulinda masilahi ya Mkulu bandarini.Sio kwa baridi ile lazime waongozane pamoja
Na wewe mla viwavi urudi kwenu dodoma ukafute viatu vya bashite akihamia huko.