Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Za mchana ndugu zangu wa hapa JF.
Leo nakuja na style ambayo wanawake mjini (hasa wamama) ambavyo wamekuwa wakidanganya wanaume kuhusu umri. Unakuta mtu anavaa au kujipamba kibintibinti ili kuwavutia vijana wa mjini waingie mkenge wa kutembea nao.
Simply we mkague vizuri kwenye viganja vyake, shingoni, mabegani na magotini. Huwa lazima mishipa iwe imemtoka sana na kuna mikunjo.
Kama ni mweupe, mishipa yake huonekana sana tena ikiwa na rangi nyeusi. Anakuwa na ramaniramani sana ya mishipa nyuma ya kiganja chake.
Hapo ujue umeliwa, mkimbie haraka sana.