Baby M
JF-Expert Member
- Apr 18, 2012
- 1,037
- 415
but am glad you got my point...mweshim=muheshimu
Shule ulienda kusoma ujinga
Cc faiza foxy
but am glad you got my point...mweshim=muheshimu
Shule ulienda kusoma ujinga
Cc faiza foxy
Wewe ni wa pekeeMie napenda wale walio wa kweli
mtigo pesa ili ujiridhishe vizurKuna dada mmoja alikosea namba kwenye simu yangu sasa tukajenga urafiki wa kawaida mwishowe nikamtongoza lakini aliniuliza kama nina mke au la.
Kwakuwa sikutaka baadee aje agundue kama nilimdanganya nikaona nimwambie ukweli kwamba nina mke.Dooooooooh hapo utafikiri ndo nilimuongezea speed ya yeye kunikatalia ombi langu.Analeta maneno meeeeengi sana mara oooooh tulia tu na mkeo lakini chakushangaza me nikiuchuna mara kwa mara ananitext eti oooooh mbona kimya .Ntaachaje kuwa kimya wakati ulishanambia nitulie na mke wangu.
Hapo ndipo nilipogundua kwamba wanawake hawapendi kuambiwa ukweli.Hata kama una wanawake ishirini ukimwambia sina anaridhika kabisa.
Jiandae kisaikolojia kutoa elaKuna dada mmoja alikosea namba kwenye simu yangu sasa tukajenga urafiki wa kawaida mwishowe nikamtongoza lakini aliniuliza kama nina mke au la.
Kwakuwa sikutaka baadee aje agundue kama nilimdanganya nikaona nimwambie ukweli kwamba nina mke. Dooooooooh hapo utafikiri ndo nilimuongezea speed ya yeye kunikatalia ombi langu.
Analeta maneno meeeeengi sana mara oooooh tulia tu na mkeo lakini cha kushangaza me nikiuchuna mara kwa mara ananitext eti oooooh mbona kimya .Nitaachaje kuwa kimya wakati ulishanambia nitulie na mke wangu.
Hapo ndipo nilipogundua kwamba wanawake hawapendi kuambiwa ukweli. Hata kama una wanawake ishirini ukimwambia sina anaridhika kabisa.
Bora hata umwambie ukwelSo unazani anakupenda eee? Huwajui vizur wadada wakileo hiyo ni mbinu ya kukuchota maela, soon atakukopa alafu utakuwa mwisho wakuona msg zake.
Ukitaka kula papuchi kiulainilaini kuwa muongo kwa wanawake
Ukweli ni muhimu katika mahusiano ila inategemea ni ukweli wenye kulenga nini! Wanawake wengi wameangamia au kupoteza safari zao za maisha kwa kudanganywa. UKWELI HULETA WIVU NA HUHARIBU LENGOKuna dada mmoja alikosea namba kwenye simu yangu sasa tukajenga urafiki wa kawaida mwishowe nikamtongoza lakini aliniuliza kama nina mke au la.
Kwakuwa sikutaka baadee aje agundue kama nilimdanganya nikaona nimwambie ukweli kwamba nina mke. Dooooooooh hapo utafikiri ndo nilimuongezea speed ya yeye kunikatalia ombi langu.
Analeta maneno meeeeengi sana mara oooooh tulia tu na mkeo lakini cha kushangaza me nikiuchuna mara kwa mara ananitext eti oooooh mbona kimya .Nitaachaje kuwa kimya wakati ulishanambia nitulie na mke wangu.
Hapo ndipo nilipogundua kwamba wanawake hawapendi kuambiwa ukweli. Hata kama una wanawake ishirini ukimwambia sina anaridhika kabisa.
Nimekuelewa what u mean aiseehaha ni wewe ndiyo wajidanganya, akikutext doesnt mean anakutaka umuoe or uwe mpenzi wake..she is just maintaining the friendship, or kama wewe hutaki mwambie or block her number.
Na pia ukimwambia dem ukweli mf, umeoa or una wanawake 100, haimaanishi akubaliane na kile unachotaka wewe, she has the right to choose either to screw the unfaithful married guy or not. So, SILAZIMA AKUBALI OMBI LAKO JAPO KUWA UMEKUWA MKWELI, WENGINE SI TABIA ZAO KUTEMBEA NA MIJIANAUME ISIYO MIAMINIFU AF IMEOA!!!!! I mean what for?!!!!

kinachochekesha ni kwamba jamaa anajua kuwa kachomolewa kumbe anatengenezewa mazingira ya kuchunwa kwa hiyari ndiyo maana tunacheka bado mgeniWanawake wote waliocomment kwenye Thread Hii wameishia Kucheka tu,
Tatizo nini? mbona sioni cha kuchekesha? Au kuna kitu mnamaanisha? jje's miss chagga Baby M Shunie
si wote, ukweli umuweka mtu huru kutoa maamuzi sahihiKuna dada mmoja alikosea namba kwenye simu yangu sasa tukajenga urafiki wa kawaida mwishowe nikamtongoza lakini aliniuliza kama nina mke au la.
Kwakuwa sikutaka baadee aje agundue kama nilimdanganya nikaona nimwambie ukweli kwamba nina mke. Dooooooooh hapo utafikiri ndo nilimuongezea speed ya yeye kunikatalia ombi langu.
Analeta maneno meeeeengi sana mara oooooh tulia tu na mkeo lakini cha kushangaza me nikiuchuna mara kwa mara ananitext eti oooooh mbona kimya .Nitaachaje kuwa kimya wakati ulishanambia nitulie na mke wangu.
Hapo ndipo nilipogundua kwamba wanawake hawapendi kuambiwa ukweli. Hata kama una wanawake ishirini ukimwambia sina anaridhika kabisa.
Ndio tabia yako?!haha ni wewe ndiyo wajidanganya, akikutext doesnt mean anakutaka umuoe or uwe mpenzi wake..she is just maintaining the friendship, or kama wewe hutaki mwambie or block her number.
Na pia ukimwambia dem ukweli mf, umeoa or una wanawake 100, haimaanishi akubaliane na kile unachotaka wewe, she has the right to choose either to screw the unfaithful married guy or not. So, SILAZIMA AKUBALI OMBI LAKO JAPO KUWA UMEKUWA MKWELI, WENGINE SI TABIA ZAO KUTEMBEA NA MIJIANAUME ISIYO MIAMINIFU AF IMEOA!!!!! I mean what for?!!!!
Chikira sawa lakini "KE"walio wengi "ME" akiwambia ukweli wanaona ni uwongo na akiwambia uwongo wanaona ni ukweli.So wanaume inabidi wawe waongo ili kufanikisha mitego yao.Mie napenda wale walio wa kweli
MmmhhhNimesema hivi msichana ni kama kitoto kidogo chenye kamasi piuani. Bila kukidanganya kua utaleta pipi hakikubali uende.
Hata vyenyewe vinajua ni vitoto
Ila mimi niko tofauti na wanawake wenzangu! Mie mwanamme akinidanganya halafu nikajua amenidanganya namchukia sana, napenda ukweli hata mie sipendi kumdanganya mwanamme,Chikira sawa lakini "KE"walio wengi "ME" akiwambia ukweli wanaona ni uwongo na akiwambia uwongo wanaona ni ukweli.So wanaume inabidi wawe waongo ili kufanikisha mitego yao.
Mimi sikatai ila nasemea majority.Ni sawa na "ukuta"(nadhani unanielewa).Kuna wasichana wanamaliza vyuo vikuu wakiwa na "Ukuta".lakini ukileta mada hapa utaambiwa hakuna mdada anaweza kumaliza chuo kikuu bila ukuta wake kuvunjwa.Lakini walio wengi ni hukoo sekondari,shule za msingi kutwa zimeshabomolewa na tinga tinga la jiji. ..Ila mimi niko tofauti na wanawake wenzangu! Mie mwanamme akinidanganya halafu nikajua amenidanganya namchukia sana, napenda ukweli hata mie sipendi kumdanganya mwanamme,