Akishawakamata atawapeleka wapi? Watashitakiwa kwa sheria ipi? Wakifungwa watapelekwa jela ipi? Ya wanawake au wanaume? Hili suala linahitaji nguvu na pia busara. Kama jamii tuangalie tumejikwaa wapi? Clouds wamechukuliwa hatua gani mpaka leo kwa kunadi ushoga? Hawa akina Joti, ambao kutwa...
Simu yangu voda inasoma 4G na speed ni ya hatari.
Ila tigo haijawahi kusoma 4g hata mara moja. Nishatembelea ofisini kwao mara 2, wanaiswap tu line yangu. Na bado 4g haisomi. Sijui tatizo ni nini.
We jamaa ni mpumbavu sana, na upumbavu huu ni matokeo ya mfumo wetu wa elimu kwani nina uhakika shule umeenda enda ila hujaelimika.
Naamini umefjka angalau kidato cha nne, lakini bado una akili mgando za kujibu hoja na maswali mazito ya uchumi na maendeleo kwa majibu mepesi uliyokaririshwa kuwa...
kuna kuweza, kutokuweza au kushindwa na kutowezekana.
Kutokuweza kufanya kitu ambacho hakiwezekani,, haimaanishj kuwq hauwezi. Tunapima uwezo wako kwa vitu vinavyowezekana.
Mungu anaweza kila kitu, hakuna kinachomshinda.
Kuumba kitu ambacho yeye hawezi kukibeba haiwezekani na sio kama hawezi.
Na Chrisludos
Kwanza nianze kwa kuwapongeza wabunge wote wa upinzani waliofanikiwa kuchaguliwa licha ya changamoto mbalimbali walizokutana nazo.
Ni wazi uchaguzi wetu katika ngazi zote haukuwa huru na wa haki kwa wagombea kutoka vyama vyote.
Viashiria ni vingi kuwa tume ambayo ndio kama refa...
Nianze kukiri kuwa Raisi Pombe ameanza vizuri katika uongozi wake wa serikali ya awamu ya 5, naamini akidendelea hivi serikali atakayoiunda itafanya kazi kweli kweli katika kusimamia taasisi zilizo chini ya serikali na kutatua shida mbali mbali za wananchi.
Hakutakuwa na kufanya kazi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.