Tigo wana 4G kweli au wanatuibia?

SHIDA NI KUWW wengi wanafurahia matangazo kuliko uhalisia... simu yako kuwa ina uwezo wa 4G huitaji tiGo wakueleze hilo... specs za simu yako zitasema...
 
Simu inayokubali 4G na line ya 4G lakini sijaona hiyo tofauti ya mara tano kwa 3G.

Mtandao unashuka hadi E ukiwapigia wanakuambia njoo makao makuu ukienda hakuna chochote zaidi ya tunashughulika.. na samahani nyinyi sana..!
 
Tatizo laweza kuwa hizo simu zenu, niko Kibamba hapa saizi na tigo 4G inapiga kazi vizuri kabisa, kituko ni Vodacom, hata Mbezi haifiki afu speed yake bora hata 3G washenzi sana wale.
c597dedabaae3ff900df12af6436d153.jpg
 
Hapana ,mimi nakaa Ubungo uku Tigo haishiki 4G kabisa, Voda inapandisha minara miwili. Hapa natumia Halotel ina speed zaidi ya hizo 4G za tigo na voda
 
Ndugu yangu kaenda kwa ofisi yao wakamwambia lete simu yako tuangalie kwenye database yetu!! Oooh yes simu yako inakubaliana na 4g yetu(4g ya tigo magumashi inachagua simu).Tangu posta mpaka mwenge hakupata 4g alipofika mlimani city akapata.Alipotoka pale basi 4g ikapotea!!!!!!. .............................................................
Tigo hawana 4g ni magumashi tu. Simu inakuonesha una 4g ila ukiwa una download haina tofauti na Edge.
 
Halotel ndio kiboko ya hao wababaishaji wengine ambao gharama zao ziko juu sana reliabilty F!

Najiunga Halo_University kwa tsh.10,000 napata gb10 za data, dakika 80 kwenda mitandao yote,sekunde 1200 halotel kwenda halotel na sms 10000 mwezi mzima!
Ukiangalia ngoma inatambaa na H+ full time popote uendapo na simu yako, ukigusa youtube walete hamna buffering za kichoko...Mungu akupe nini tena mtanzania?
 
Simu yangu haina tatizo lolote, ngoja nikuwekee speed test nikiwa Posta uone
4fdeb1589bd15ed67d3d9c57398f8f80.jpg
9de9e2518d8f805080d1cedf285be273.jpg
hizo ni speed test ya tigo na voda nikiwa posta

Tatizo ni kwamba hatuishi maofisini kaka? Ishu ni reliability sio kupata 4G pekee...Utashangaa ukitoka posta na kwenda sehemu nyingine hio ping test haikupi same results mbaya zaidi ukute ngoma inatembea na Edge tu ukiwa nyumbani kwako, very useless!
 
wezi tena hadi Ramadhani hii wanaiba na hawajafuturisha wala nini
 
de4cf49f19c9b6a519c17452fd26cb7f.jpg

Simu yangu voda inasoma 4G na speed ni ya hatari.
Ila tigo haijawahi kusoma 4g hata mara moja. Nishatembelea ofisini kwao mara 2, wanaiswap tu line yangu. Na bado 4g haisomi. Sijui tatizo ni nini.
 
Tatizo ni labda umeshahau kuwa simu yako haikutengenezwa kusupport 4g dual function at per, hivyo upande mmoja ukiwa 4g lazma mwingine uwe 2g and vice versa. Haiwezi kusoma 4g line zote kwa wakati mmoja!
 
Back
Top Bottom