Tigo wana 4G kweli au wanatuibia?

hizo ni namba na herufi tu hakuna chochote,baada ya muda utasikia 7G.ni mchezo tu wa kibiashara.
 
Mimi natumia tigo LTE hakuna kitu ... Nafikiria kuhamia haloteli.. Tigo internet itakuboa tu kaka.. Badili line kama hujaitumia kwa muda mrefu hamia halotel.. Mimi nimetumia tigo miaka kama sita kwa hio ndio maana inakuwa ngumu kuhama ila kuna siku tu nikishaweka mambo yangu sawa nitatupa hii line....
 
Tigo sio mtandao kabisa,kwang kams sijaweka credit inasoma 3G nikiweka credit tu na kununua data za internet kitu kinahama,ni E
Mnakera tigo,ipo siku mtabembeleza watu warud kwenu na mtakuwa mmechelewa
 
Tatizo ni labda umeshahau kuwa simu yako haikutengenezwa kusupport 4g dual function at per, hivyo upande mmoja ukiwa 4g lazma mwingine uwe 2g and vice versa. Haiwezi kusoma 4g line zote kwa wakati mmoja!
Ninafahamu hilo, tatizo nikitumia tigo inaishia H+..haisomi 4g, wakati ninapotumia voda ni 4g mara chache H. Na speed ya 4g ni hatari.
 
Hiyo mitandao ni wababaishaji tuu baadala ya kuboresha 3G wao wamekurupuka na 4G wakati watanzania wengi wanauwezo wa simu za 3G .nawapongeza sana Halotel kwa kuwashikisha adabu hii mitandao ya hovyo .wenzao Halotel huwasikii kujitangaza wala nini lakini Huduma zao zipo juu.lkn hii mitandao ya hovyo matangazo kila channel na station mbalimbali za radio lkn Huduma za hovyo.kweli Leo naukubali ule msemo unaosema "kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza"
Ukweli wa mambo hii mitandao in a survival kwa nguvu za advertisement tu na sio efficiency.lkn watashika adabu tu muda si mrefu kwa sababu sasa hivi kwa ukweli mtandao unaongoza kwa kuuza vocha ni Halotel.
 
Back
Top Bottom