Recent content by chotarasukari

  1. chotarasukari

    MSAADA: Nahitaji flash file ya TIGO smart kitochi

    Smart kitoch hio Easy kabisa dakika 5 tu inawaka fresh
  2. chotarasukari

    BOOTMGR missing, press alt+Ctrl +del to restart

    Fanya kupiga windows upya tu kama una vitu kwenye drive partition ilio na OS basi tafuta computer ingine funga Hio Hard Drive toa vitu muhimu rudisha upige windows.
  3. chotarasukari

    Mafundi Computer Naomba Tusaidiane Kuhusu hili

    Hio d620 ina usb port 2 za kulia ambazo zinaweza kutoka maana ziko embedded kwenye motherboard. Sasa tafuta machine ingine d620 or d630 zinafanana hizo, toa hizo usb port weka huku ili ujue tatizo lina anzia wapi. Zikigoma tafuta mtaalamu ata loop njia huenda short imezikata electronics...
  4. chotarasukari

    Msaada: Laptop yangu nikiitumia kwa muda inazimika na haiwaki muda huo huo. Shida ni ninI?

    Kitu simple hio kama una uelewa wa hardware maintenance fungua pc mpaka uifikie processor then toa ile cooler henye materials za copa au silva then utaona heat sink fluid imekauka cha kufanya safisha vizuri then weka heat sink fluid mpya. Wengine huita themal paste. Rudishia fresh machine enjoy...
  5. chotarasukari

    Msaada: Laptop yangu nikiitumia kwa muda inazimika na haiwaki muda huo huo. Shida ni ninI?

    Paka mafuta kwenye processor (heat sink au themopaste) Sent using Jamii Forums mobile app
  6. chotarasukari

    Chuo kikuu cha Dodoma mbona technical team hampo serious kiasi hiki?

    Mafundi sim wa mtaani ni wazuri kuliko wa shule
  7. chotarasukari

    Ondoa pattern, password ulizozisahau pasipo kuflash simu

    Lazma itafuta vitu tu kwa tecno nyingi hata Samsung na infinix pia ikiwaka inakuja kwenye FRP(factory reset protection)
  8. chotarasukari

    Karibuni tuichambue simu ya Oppo f3 Plus

    Oppo ziko vizuri sana Ni zaidi ya Tekino mie nimetumia Oppo Neo7 W33A ilikua sawa haijam jam wala kufa firmware kama hizi brand zingine
  9. chotarasukari

    Kirusi kinahofiwa kujitokeza Kwenye kompyuta leo

    Hawa virus wanatambaa sana huyo anaitwa "Ransomware" pia kuna huyu IMG001 na KEY WANAZINGUA SANAAAA
  10. chotarasukari

    Maajabu ya wanafuzi wa DIT

    Kusoma DIT sio kitu wala kufanya Degree MIT sio kitu.. Kitu Ni Wewe mwenyewe unasimamaje kwenye uwajibikaji wa kile ulichojifunza au unachojifunza. Tupo mtaani na tunafanya vitu vya walioenda skul. Maarifa yanaanzia kwako kabla hujayapata kwingine
  11. chotarasukari

    IMG001 VIRUS

    Habari wakuu. Poleni Kwa majukumu. Naomba Msaada kutoa aina hii ya Virus IMG001 Ananisumbua sana kwenye windows 7 PC na nimejaribu Kwa Avast n Smadav nimeshindwa nikasoma internet nikapewa maelezo ila bado sijafanikiwa sababu programs wanazo nielekeza nizakununua. Msaada Wataalamu...
  12. chotarasukari

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Umeelezea vizuri sana na umenifumbua sana.. Vizuri Mkuu
  13. chotarasukari

    Msaada: Kompyuta yangu haiwaki

    Hili ndio suluhisho sahihi kwa PC yenye tatizo Kama hilo. FUNGUA PC YAKO KISHA NENDA PALE KWENYE PROCESSOR FUNGUA ILE COOLER UTAONA PROCESSOR ANGALIA KAMA NI PIN AU PINLESS ITOE ZAFISHA SEHEMU INAPOKAA KWA PETROL THEN IRUDISHE KISHA PAKA HEAT SINK IKIGOMA TAFUTA HICHO KI PROCESSOR KINGINE...
  14. chotarasukari

    Screen ya Dell Inspiron new model inahitajika

    Kama upo Dar hata kwa 80 utapata ila kwingine 100,,,,120,,,,130,,,140,,,,150
Back
Top Bottom