BOOTMGR missing, press alt+Ctrl +del to restart

Felixtz

Member
Oct 19, 2015
55
17
Habali za mda huu wapendwa, nina desktop computer na Jana nlijalibu kuirestart. Baada ya kuzima na kuwaka Tena haikuleta chochote Ila ujumbe uliojiandikisha juu ukisomeka "BOOTMGR missing, press alt+Ctrl +del to restart". Nikijaribu kufanya maelezo hayo Bado linajirudia kuandika hivo, msaada tafadhali.
 
"BOOTMGR missing, press alt+Ctrl +del to restart"
Inatakiwa ufanye Startup Repair ili kurejesha BOOTMGR file.

Ina hili linawezekana iwapo bado unayo CD uliyotumia awali kuweka hiyo OS.

Je unayo CD au USB drive yenye Windows OS iliyotumika awali kufanya installation ya OS unayotumia sasa?
 
Fanya kupiga windows upya tu kama una vitu kwenye drive partition ilio na OS basi tafuta computer ingine funga Hio Hard Drive toa vitu muhimu rudisha upige windows.
 
Mzee baba Sina CD coz nliuziwa tu hyo machine, but USB ninayo Ila Haina windows
 
Mkuu kabla hujaenda kupigwa kizembe na fundi jaribu kuingia kwanza YouTube utapata solution na ujaribu kusolve mwenyewe.

Baada ya muda kila tatizo utajua chanzo chake na kutatua mwenyewe.
 
Fanya kupiga windows upya tu kama una vitu kwenye drive partition ilio na OS basi tafuta computer ingine funga Hio Hard Drive toa vitu muhimu rudisha upige windows.
Anaweza kupiga Tu hiyo windows bila kuformat partition yenye vitu na kama hajagawa pia haina shida anapiga bila kuformat iwapo space inatosha kuweka OS mpya then vitu vyake atavirestore toka Old os
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom