Chuo kikuu cha Dodoma mbona technical team hampo serious kiasi hiki?

Chuo kikuu cha Dodoma mbona technical team hampo serious kiasi hiki?

udom ameona hui issue imekua ngumu bora wawatupie mzigo necta...
issue ya control number imewashinda, saiv wanakuambia uendelee tuu kufanya selection bila ya kulipia ( yaan free) lakin system bado ni mbovu, ukiingiza namba matokeo hayaji, nimewapigia simu wanasema hilo ni tatizo LA necta wao haliwahusu...

dah aisee udom kwanin isumbue kwenu tuu kana ni tatizo LA necta mbona vyuo vingne inakubali...
 
me nmehangaika sana, system yao hai-fetch matokeo from NECTA, sa hizi hata system haipo hewani,daah
 
Kitengo cha IT UDOM ni wajinga sana na ndio wanakifanya chuo kionekane kimejaa wapuuzi, kitu kidogo tu kama hicho wamekaa siku karibia 6 hawajarekebisha....Elimu nzuri ila kuna mijinga flani ipo pale kuaibisha wengine.

Kama hawahitaji tena wanafunzi waombe wangesema sio kuwapigia simu wanakuambia saa 10 itakua tayari halafu hamna kitu.

Wapuuzi sana hao jamaa
 
me nmehangaika sana, system yao hai-fetch matokeo from NECTA, sa hizi hata system haipo hewani,daah
dah tatizo hilo hilo nakumbana nalo tangu Jana usiku... nimewapigia simu udom wanasema hilo ni tatizo la Necta sio lao... ila cha kushangaza ni kwamba vyuo vingine hii step haisumbui, sasa sijui Necta wana bifu gani na Udom mpaka wawafanyie hivi...

IT checnical team ya udom ilitakiwa iwe imeshawajibishwa sema tuu tupo Tanzania
 
Wakuu naomba kuuliza kuapply udom sehemu ya attachments unaweka ceritifate award (ni za secondary and advance au ni zipi? Naomba anayefahamu anijuze am in need na kujua
 
Wakuu naomba kuuliza kuapply udom sehemu ya attachments unaweka ceritifate award (ni za secondary and advance au ni zipi? Naomba anayefahamu anijuze am in need na kujua
vp sehemu ya kuchukua matokeo kutoka necta imekubali?
 
dah tatizo hilo hilo nakumbana nalo tangu Jana usiku... nimewapigia simu udom wanasema hilo ni tatizo la Necta sio lao... ila cha kushangaza ni kwamba vyuo vingine hii step haisumbui, sasa sijui Necta wana bifu gani na Udom mpaka wawafanyie hivi...

IT checnical team ya udom ilitakiwa iwe imeshawajibishwa sema tuu tupo Tanzania
Ni janga kubwa aisee, yaani wanakwepa uwajibikaji majaa. wanajiharibia sana aisee
 
Udom sidhan kama mtoto wangu atasoma pale
 
Chuo kikuu cha Dodoma mbona technical team hampo serious kiasi hiki?
Tangu application second round imefunguliwa tarehe 21/08 mmekua hamueleweki,
mwanza server yenu ilikua chini, watu wakavumila, sasa hivi zaid ya siku NNE system yenu haitoi control namba na kila mkiulizwa mnatoa majibu mepesi " subir baada ya dk 20/ masaa 3" halafu baada ya muda huo hali inakua hivyo hivyo...

Chuo kikubwa kama udom kweli mmeshindwa kutatua hii kero au kwasababu ile technical team mmewekana kwa kujuana ndo maana wanakua hamna uwezo wa kufanyia kazi mambo madgo kama haya ??

Leo ni tarehe 26/8 mwisho ya application ni tarehe 29/08 hebu toeni tamko kama imeshindikana hawa watoto watafute vyuo vingene vya kuomba sio mnakaa tuu, kila mkipigiwa simu mnacheka Cheka tuu ... mnakera sana udom na ndo maana hiki chuo kitaendelea kutoheshimika miaka yote...

mnashindwa hata na vi college vidgo vinakua serious bhana...

Chuo cha kata!
 
Sasahivi hata haulipii ni bure tu, naona issue ya control number imekua ngumu...so unaingiza details zako nyingine tu unachakua zako programs na ku submit
aaaah sawa sawa: ila nahisi wasiolipia lazima watawachaji wkt wa usajili.
 
Samahani hapa kwenye attachment panel unajaza nn tafadhali naomba msaada
Screenshot_2019-08-29-17-06-52-190_com.android.browser.jpeg
 
Alafu bado unachaguliwa hapo hapo kozi ya IT aaah aaah aaah pumba tupu dadek
Kuna tatizo kubwa upande wa system maana hata matokeo wametoa week hii hauwezi kuangalia ukiwa nnje ya network ya UDOM , kumbuka UDOM iko autonomous hivyo swala la system nitatizo la utawala mkuu sio collage ya CIVE hayo ni mambo ya sera na mipango, karibu.
 
Back
Top Bottom