MSAADA: Nahitaji flash file ya TIGO smart kitochi

Kwangu inagoma kudetect kwenye pc licha ya kuweka spd driver inaleta ujumbe usb device not recognized
simu yako inatatizo kwenye upande wa usb mpelekee fundi ifunguliwe kwanza.
 
Inapandisha charge fresh
Badilisha usb ikileta hiyo ya meseji usb not recognised hapo inakubidi ubadilishe charging system huenda lines za data zimekufa zimebaki za kupeleke charges tu.
 
Poa poa!!
 
Ila wabongo maskini sana yaani Simu ya 45K unateseka nayo hivyo?
 
45,000 mbona simu kubwa kabisa hiyo,. watu tunahangaika mpaka na vifone v2 + ya 17,000 na ikiingia password tunaenda iflash kwa 5000 na ikiingia maji tunasafishiwa kwa 3000. maisha yanaenda kikubwa pumzi na uzima.
wee endelea na XIOMI yako ya 700k au oppo yako ya 500k.
 
Situmiagi simu ambayo sio flagship tena isiwe nje ya iphone na Samsung tena iwe current flagship. Karibu.
 
Back
Top Bottom