Duu.. Hongera sana!!Kwa upande WA specification uko poa aisee ILA Mimi nishaolewa na Nokia (Microsoft ) kamwe sitoisaliti
snapdragon 653 ni soc nzuri kwa simu za kati, ila kwa bei nilioiona shilingi 35,000 hadi 40,000 za kenya bado xiaomi redmi note 3 pro inabaki champion wa perfomance sababu yenyewe ni kama 20,000 hivi ya kenya huku ikiwa na snapdragon 650
tofauti ya snapdragon 650 na 653 ni wingi tu wa core, snapdragon 650 ina core 6 mbili zikiwa kubwa na nne ndogo wakati 653 ina core 8 nne kubwa na nne ndogo. hivyo tofauti karibu ya laki nne za kitanzania kwa ajili ya core 2 tu sidhani kama inalipa.
pia kwenye ram naona wana 4gb compare na 3gb ya redmi note 3.
mpinzani mwengine wa kumuangalia hapa ni flagship za mwaka jana simu kama galaxy s7, HTC 10, lg g5, xperia z premium etc hizi pia bei zimeshuka kufikia range hio,
SIKU AMBAYO NITAKAA BILA KUONA
MCHANGO WAKO JUKWAANI HUMU BASI KAMWE SITAKUA BA HAJA YA KUINGIA JUKEAANI
300kKwa specification hizo lazima iuzwe kuanzia 400k na kuendelea hasa ukiangalia wametumia chipset ya snapdragon..ila sijajua kama inasapoti 4g bands za kibongo
bei fair sana ila tatizo linakuja jins ya kuzipata hapa bongo300k
Zinapatikana wapi kwa bei hiyo.300k
Mutukula unanunua kwa bei ya kiganda laki tanoZinapatikana wapi kwa bei hiyo.
Mkuu shukrani kwa uchambuzi.Hapa kwetu itauzwa bei gani?snapdragon 653 ni soc nzuri kwa simu za kati, ila kwa bei nilioiona shilingi 35,000 hadi 40,000 za kenya bado xiaomi redmi note 3 pro inabaki champion wa perfomance sababu yenyewe ni kama 20,000 hivi ya kenya huku ikiwa na snapdragon 650
tofauti ya snapdragon 650 na 653 ni wingi tu wa core, snapdragon 650 ina core 6 mbili zikiwa kubwa na nne ndogo wakati 653 ina core 8 nne kubwa na nne ndogo. hivyo tofauti karibu ya laki nne za kitanzania kwa ajili ya core 2 tu sidhani kama inalipa.
pia kwenye ram naona wana 4gb compare na 3gb ya redmi note 3.
mpinzani mwengine wa kumuangalia hapa ni flagship za mwaka jana simu kama galaxy s7, HTC 10, lg g5, xperia z premium etc hizi pia bei zimeshuka kufikia range hio,
ni simu nzuri lakini kama unataka kubadilisha mazingira sio mbaya japo sijajua vitu vyengine kama camera na build quality vipoje
Hana pesa huyo, labda nimuazime zanguInauzwaje kwa pesa ya Magufuri..
Unazungumzia tecno gani mkuuOppo ziko vizuri sana Ni zaidi ya Tekino mie nimetumia Oppo Neo7 W33A ilikua sawa haijam jam wala kufa firmware kama hizi brand zingine