Mtoa mada nimemuelewa agenda yake inaonekana ni maajabu kwa lugha iliyotumika na siyo maajabu ya kinachofanyikahamna maajabu hapo, wanafanya practical tu au mazoezi kwa vitendo. Hamna kifaa hata kimoja katika hivyo wameviunganisha ambacho wametengeneza wao. Walichofanya wao ni kuunganisha tu. Hata namna ya kufanya au kuunganisha hawajabuni wao, ni mbinu ya kutengeneza super computer ambayo ipo miaka nenda rudi.