Recent content by CHIKITO

  1. CHIKITO

    JamiiForums Tanzania Wana Jamiiforums, nauza Smartphones

    Samahani rafiki mtandao haupo vizur apa nilipo nimeshindwa kuzi attach apa apa kwene thread.
  2. CHIKITO

    JamiiForums Tanzania Wana Jamiiforums, nauza Smartphones

    Nipo mwanza mjini mkuu kwa 70 ongeza kidgo zilizopo ni huawei y300 kwa laki na 30 na samsung ace 2 kwa laki na 20.. tu.
  3. CHIKITO

    JamiiForums Tanzania Wana Jamiiforums, nauza Smartphones

    Simu zinapatikana hapa kwangu kwa bei nafuu, hata mwenye bajeti ndogo anaweza jipatia smartphone yake nicheki olx: collamrisho zoomtanzania, na instagram @goodkidstore. Namba yangu hii hapa: 0714203090. Napatikana jijini Mwanza shipping nafanya pia. Nione whatsapp kwa picha na biashara.
  4. CHIKITO

    JamiiForums Tanzania Tangaza na JF, Mahali Jamii inapokutana

    Wasiliana na mi goodkidstore instagram kwa simu kali used na mpya kwa bei nafuu zaidi napatikana mwanza shipping nafanya pia #0714203090
  5. CHIKITO

    JamiiForums Tanzania Nauza smartphone kali na za uhakika kwa bei nafuu

    Nashindwa kuziweka picha hapa jaman ila mkitembelea olx na instagram @officialcolla mtapata kuziona zote na bei karibuni sana.
  6. CHIKITO

    JamiiForums Tanzania Nauza smartphone kali na za uhakika kwa bei nafuu

    Nipo mwanza mjini ila na watu wangu pia dar es salaam kama ni muhitaj tuwasiliane kwa 0714203099
  7. CHIKITO

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu ana swali

    Samahani, kama umeamua kutamfuta mke kwenye social network bora ni wapi? Facebook? Twitter? Ama jamii forum?
  8. CHIKITO

    JamiiForums Tanzania Kwa gharama yoyote anayeweza kutoa password.

    Really
  9. CHIKITO

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya neno pepsi

    Kwani had ugeuze jaman mbona hizi ni myth mnaleta humu ndani kwa utafiti wangu usio rasmi kila kinachogeuzwa kinakua na madhara tukianzia 0713, nk
  10. CHIKITO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mafuta ya kupaka during sex act

    Uwiiiiiiiiiiiiiiiii uyo doctor katisha sex oil
  11. CHIKITO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mafuta ya kupaka during sex act

    Sexy OIl dunia
  12. CHIKITO

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wasanii wetu wabongo ni kama wake wenza

    maisha ni kazi tofauti. Wenzetu mbele bifu hizi hakuna wanafake bifu kwaajili ya biznes lakin sisi wandewa kama tumechizika vile
  13. CHIKITO

    JamiiForums Tanzania Je hili linawezekana katika siasa yetu.

    Kutokana na watu wengi kutokua na imani na wanasiasa pamoja nakile wanachokifanya jE? Inawezekana pale Rais anapopatikana pamoja na wabunge kuwa kuna maandikishano ya mkataba utakao husu utekelezaji wa sera mbali mbali walizotuhaidi mkataba huu usimamiwe na wanasheria wakubwa naitaji kufahamu...
  14. CHIKITO

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wasanii wetu wabongo ni kama wake wenza

    Hii inatokana na tabia zao ambazo ni binafsi naita ni ushamba,ujinga,kutokujitambua Haiwezekani msanii mkubwa kama ALLY KIBA ANasema yeye collabo na diamond na ommy dimpoz ni kama kudeki bahari hizi za wapi jamani.
  15. CHIKITO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je kuna ukweli?... how to make you ex feel useless and desperate

    Ila si ame cite Source mkuu kuna shida kwaN
Back
Top Bottom