Je hili linawezekana katika siasa yetu.

Je hili linawezekana katika siasa yetu.

CHIKITO

Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
44
Reaction score
4
Kutokana na watu wengi kutokua na imani na wanasiasa pamoja nakile wanachokifanya jE? Inawezekana pale Rais anapopatikana pamoja na wabunge kuwa kuna maandikishano ya mkataba utakao husu utekelezaji wa sera
mbali mbali walizotuhaidi mkataba huu usimamiwe na wanasheria wakubwa naitaji kufahamu kama hili linawezekana mi binafsi sina imani na hawa watu sie Zito,lowasa,jk,wala dr slaa.
 
Back
Top Bottom